Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Lakini pia ninapolipa 500 na wewe ukaniuzia kifurushi si nimekulipa hela yako yote na wewe hunidai. Sasa kwanini tena unachukua kilekile nilichonunua kwako na hela yako yote nimeshakulipa.
Mzee Bashir, Kwani wakati unaponunua icho kifurushi hawajakwambia kama kina expire lini? Ndio kuna vile vigezo na masharti kuzingatiwa ambavyo hatuoneshwi.

Mengine naunga mkono hoja, kuna moja ambalo hili ndio linaniudhi sana. matumizi ya neno UNLIMITED. yaani mtandao unanadi wanakupa UNLIMITED kumbe GB 1
 
Naunga mkono hoja
Mm juzi nlinunua bando nkapewa Gb 1 asubuh hyo na kinaexpire kwa siku kum
Na nikishaingia ofisin kama nataka kuperuzi natumia WiFi natoka kazin jion kabisaa
Nikifika nyumban naweka simu huko usiku nazima kabisaa ajab yake kesho yake naambiwa et kifurush kimeisha
Kiukwel wanaumiza
 
jipe moyo utayashinda tuuu
 
Kuna siku niliwahi kuwahoji TCRA ,na watu wa Vodacom ,walikosa majibu ,ilikua kipindi cha bando la haliishi alijaanza ,niliwa
 
Mzee Bashir, Kwani wakati unaponunua icho kifurushi hawajakwambia kama kina expire lini? Ndio kuna vile vigezo na masharti kuzingatiwa ambavyo hatuoneshwi.

Mengine naunga mkono hoja, kuna moja ambalo hili ndio linaniudhi sana. matumizi ya neno UNLIMITED. yaani mtandao unanadi wanakupa UNLIMITED kumbe GB 1
Ni kweli wanakuambia kina expire lini, ila ndio hapo Wakili anajenga hoja yake.

Kwanini waweke sharti la muda kwa huduma ambayo nishalipia? Mfano kuna siku network ilikuwa inasumbua siku 5 sipati internet ila nilikuwa nimelipia bundle ambalo kwa uzembe wao wenyewe sikuweza kutumia.

Wakili ana hoja nzuri sana.
 
Kama mtu anataka kununua dk 12, anunue atumie mpaka zitakapoisha ila haya mambo ya masaa ina expire siyakubali, iki expire wanapeleka wapi?huu ni wizi wa wazi wazi, mkuu nipo tayari kuchangia nauli ukikwama
 
Back
Top Bottom