I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Nice move comredi. Watz tunakuombea mafanikio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Bashir, Kwani wakati unaponunua icho kifurushi hawajakwambia kama kina expire lini? Ndio kuna vile vigezo na masharti kuzingatiwa ambavyo hatuoneshwi.Lakini pia ninapolipa 500 na wewe ukaniuzia kifurushi si nimekulipa hela yako yote na wewe hunidai. Sasa kwanini tena unachukua kilekile nilichonunua kwako na hela yako yote nimeshakulipa.
Hahahaaa...poleDah! Nimechelewa washazichukua.
jipe moyo utayashinda tuuuNaunga mkono hoja
Mm juzi nlinunua bando nkapewa Gb 1 asubuh hyo na kinaexpire kwa siku kum
Na nikishaingia ofisin kama nataka kuperuzi natumia WiFi natoka kazin jion kabisaa
Nikifika nyumban naweka simu huko usiku nazima kabisaa ajab yake kesho yake naambiwa et kifurush kimeisha
Kiukwel wanaumiza
Ni kweli wanakuambia kina expire lini, ila ndio hapo Wakili anajenga hoja yake.Mzee Bashir, Kwani wakati unaponunua icho kifurushi hawajakwambia kama kina expire lini? Ndio kuna vile vigezo na masharti kuzingatiwa ambavyo hatuoneshwi.
Mengine naunga mkono hoja, kuna moja ambalo hili ndio linaniudhi sana. matumizi ya neno UNLIMITED. yaani mtandao unanadi wanakupa UNLIMITED kumbe GB 1
TCRA sijui wajibu wao ni nini. Hata ukiwapelekea malalamiko hamna wanachofanya.Kuna siku niliwahi kuwahoji TCRA ,na watu wa Vodacom ,walikosa majibu ,ilikua kipindi cha bando la haliishi alijaanza ,niliwa