Ni andiko bora la mwaka 2019/2020.
Mimi niliweka salio mida ya saa 2 ucku 10000 katika cmu yangu nokia asha, sio smartphone wala. Nikampunguzia mama salio 2000 na wife 2000. Balance 6000. Asbh naamka nacheki salio ni 1200. Narudia sikutumia smartphone, na sikupiga simu wala kutuma sms.
Nilipo wapigia huduma kwa wateja, zikaanza swaga ohooo huku hatuoni mihamisho ya salio. Mara nenda ...shop iliyokaribu yako. Nikaenda hakuna nilichofanikisha, ila niliwachana mbele ya wateja wao. Nikaazimia sitaweka salio kwame, wamebaki kunitumia dakika 10 mara kwa mara. Pia nimegoma kuzitumia