Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Tujitokeze wengi zaidi ila TCRA mmghh pale napo ni tatizo
Screenshot_20191101-112107.jpeg
 
Ni andiko bora la mwaka 2019/2020.
Mimi niliweka salio mida ya saa 2 ucku 10000 katika cmu yangu nokia asha, sio smartphone wala. Nikampunguzia mama salio 2000 na wife 2000. Balance 6000. Asbh naamka nacheki salio ni 1200. Narudia sikutumia smartphone, na sikupiga simu wala kutuma sms.

Nilipo wapigia huduma kwa wateja, zikaanza swaga ohooo huku hatuoni mihamisho ya salio. Mara nenda ...shop iliyokaribu yako. Nikaenda hakuna nilichofanikisha, ila niliwachana mbele ya wateja wao. Nikaazimia sitaweka salio kwame, wamebaki kunitumia dakika 10 mara kwa mara. Pia nimegoma kuzitumia
 
Hoja zako hazina mashiko! Umezungumzia kwa upande wa uwezo wa simu kutoa huduma! Na si mtandao kutoq huqdum! Kushare inayozungumzia ni bila ntanet! Na dk pia nina dk mia nakupa tano
Sawa kafungueni hio kesi, shindeni ongezeni bei za vifurushi then tutalia pamoja hakuna shida.
 
Safi sana,taifa linahitaji watu kama nyie,Tunakutakia mafanikio,Hawa watu wa mitandao wameshakuwa wezi sana
 
Back
Top Bottom