Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Ebwana eeh safari wakati inaanza ilikua mtu unaweka vocha tu na unaitumia nzima nzima katika kila kitu. Enzi za Nokia 6030 na Siemens C5 kama simu zenye intanet yalikua ni mateso.

Sasa hivi unaweka 500 unapata dakika 70, mb 500 na sms zake enzi hizo ukiweka 500 ukiamua kuongea ujue hazizidi dakika 6 na ukiingia phonerotica ni utadownload picha nane tu na mchezo umekwisha.

So tumetoka mbali, huko kwenye kugawiana vifurushi na bundle kutoexpire tukifika itakua vyema pia ila hapa tulipo ni bora mara elfu kumi ya kule tulipotoka.
 
MAWAZO UJENZI,
Kwa jambo la kwanza uko sahihi kabisa. Kama ni saa 12 watuachie tujimwai masaa 12 bila kuja dakika hata kama mtu ataongea masaa 12 bila kukata simu. Na kama wanachouza ni dakika; basi huo ukomo wa masaa 12 au wiki visiwepo; mtu ajimwai mpaka dakika zake alizonunua ziishe
 
Mkuu,

Unaponunua kifurushi unakuwa unaingia makubaliano kuwa utapewa kifurushi kitakacho tumika ndani ya muda fulani. Ni sehemu ya biashara. Kama haupo tayari usiunge.

Soko huria hili, na vigezo na masharti lazima yazingatiwe. 😁😁
 
Mahakama ikiamua tu kwa upande wa wakili,vifurushi vinafurushwa mnaanza kutumia vocha za kawaida kupiga simu.
 
Hiyo ni biashara kama biashara nyingine. Ukiona hauwezi kuzingatia vigezo na masharti, haulazimishwi, acha tu kununua.
 
Mina cute, Na Airtel wana huu ujinga mkuu kuna siku nilijuta na nlkua na shida ya maongezi marefu lakn ndo ivo nikajifunza no kukopa..!
 
Back
Top Bottom