Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Ebwana eeh safari wakati inaanza ilikua mtu unaweka vocha tu na unaitumia nzima nzima katika kila kitu. Enzi za Nokia 6030 na Siemens C5 kama simu zenye intanet yalikua ni mateso.
Sasa hivi unaweka 500 unapata dakika 70, mb 500 na sms zake enzi hizo ukiweka 500 ukiamua kuongea ujue hazizidi dakika 6 na ukiingia phonerotica ni utadownload picha nane tu na mchezo umekwisha.
So tumetoka mbali, huko kwenye kugawiana vifurushi na bundle kutoexpire tukifika itakua vyema pia ila hapa tulipo ni bora mara elfu kumi ya kule tulipotoka.