Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakuwa umeajiriwa na haya makampuni.Mkuu kwani unaponunua bidhaa dukani ukaitumia nusu na nyingine ikabaki, ukafika muda wa ku expire utaenda kuuliza kwa nini ime expire kabla ya kwisha?! Makubaliano ni hayo ya kwenye kifurushi, masaa au siku au mwezi. Kama hutai jiunge na huduma ya malipo baada ya matumizi kwnye hiyo mitandao.
Kwa takwimu hizo ulizoonyesha hapo, ni kweli gharama ya kutumia intaneti ziko juu Tanzania ukilinganisha na nchi za Afrika Mashariki. Hiyo inatokana na idadi ya watumiaji, ni simple economics, kuwa watumiaji wa bidhaa fulani mkiwa wachache, yule mwenye kuuza hiyo bidhaa atawatoza zaidi ili kufikia gharama zake za uendeshaji na apate faida pia.Tanzania inaongoza kwa kutoza viwango vikubwa vya intaneti katika nchi za Afrika Mashariki.
Kwa mujibu wa cable.co.uk,Zimbabwe inangoza duniani kwa na gharama za intaneti ambapo gigabaiti 1(1GB) inagharimu dola za kimarekani 75.2 (TZS.172,847),ikifuatiwa na Equatorial Guinea dola za kimarekani 65.83.
India inaongoza kwa kuwa na kiwango kidogo ambapo1GB ni dola za kimarekani 0.26 (TZS.598).
Huku Tanzania ikiongoza kwa gharama kubwa Afrika Mashariki na Kati.View attachment 1253780
Hajielewi huyu, ni MATAGA ,wanasifia kila kituutakuwa umeajiriwa na haya makampuni.
hivi unapataje ujasiri wa kupinga kilio cha wengi?
Hujanijibu swali umeendeleza vioja, kilio kiwe cha utaratibu wa kujiunga na vifurushi visiwe na mwisho wa matumizi bali umalize hela yako.utakuwa umeajiriwa na haya makampuni.
hivi unapataje ujasiri wa kupinga kilio cha wengi?
Masharti unayoyazungumza hapa yalifanyika kwa makubaliano kati ya mtandao na mteja au kwa lazima kwa mtandao kujiamulia utakavyo na kuyaita masharti na vigezo? Unapopewa masharti yenye unyang'anyi na ukandamizaji bado unafikiri yanastahili kuwa na hadhi ya masharti? Unanunua line ya Simu leo, kesho wanaamua tu kubandika masharti yao, wewe haki yako inakuwa ni kukaa kimya kisa tu masharti na vigezo kuzingatiwa? Hayo masharti huwa tunapewa wakati wa kununua hizo simu kwamba tunakubaliana nayo au yanatukutia juu kwa juu baada ya kuanza kutumia simu?Hujanijibu swali umeendeleza vioja, kilio kiwe cha utaratibu wa kujiunga na vifurushi visiwe na mwisho wa matumizi bali umalize hela yako.
Japo mfano wako hauendani sana kutokana na utofauti wa bidhaa, bidhaa ya dukani ikieksipaya, mwenye duka anakuja kuichukua au unabaki nayo uamue mwenyewe nini utafanya?Mkuu kwani unaponunua bidhaa dukani ukaitumia nusu na nyingine ikabaki, ukafika muda wa ku expire utaenda kuuliza kwa nini ime expire kabla ya kwisha?! Makubaliano ni hayo ya kwenye kifurushi, masaa au siku au mwezi. Kama hutai jiunge na huduma ya malipo baada ya matumizi kwnye hiyo mitandao.
Hujanijibu swali umeendeleza vioja, kilio kiwe cha utaratibu wa kujiunga na vifurushi visiwe na mwisho wa matumizi bali umalize hela yako.
Gonga *148*30#naomba viwango vya bando zao
Leo na mimi wameshachukua mali yaoasante mkuu nilishapona
swala la kuchukuliwa dakika nimelizoea sasa
Bado hujaijua internet ya voda ilivyo na kasi, bado hujajua walivyo very fast kusaidia wateja wao.Kinachonishangaza zaidi ni wewe hapo kuwang'ang'ania Voda wakati hawakutaki, ,Akufukuzae hakwambii Toka,
SI UHAME KWANI MTANDAO NI MMOJA?
Kila siku mnalia lia huko mtafikili mmefunga ndoa ya kikiristu na VODA;
Kama ni ndoa basi ficheni siri ya kitanda, mbona mkipata utamu hamsemi? lakini Mme akichepuka mnalalama?
Mkipewa GAWIWO mnakenua lakini mkikatwa mnalia!
HAMENI BHANA MSITUCHOSHE