Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
nonsenseAkizungumza Msibani wa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo Julai 5, 2026, Mwenyekiti wa chama hicho kwa Jimbo la Tarime Mjini, Bashiri Abdallah Selemani amekemea kitendo cha kuwepo kwa magari ya wasiojulikana katika eneo hilo akiwataka kutofanya vitendo visivyokubalika eneo hilo
Mlimuua kwa kosa gani, mkuu.Washamba hao hao Tarime wana mtisha nan ? kila kitu mnaleta siasa na hpo ni msibani.
Leta ushahidi , yaani watu wamuue kisa nn .Fala unatekwa akili na wanasiasi , una safari ndefu sana ya kufuta ujinga.Mlimuua kwa kosa gani, mkuu.
Ni Tanzania tu mauaji yanashabikiwa na kufurahiwa hasa ya upande mmoja.
Sawa, matusi sawa, ila kosa lake ni nini mkuu.Leta ushahidi , yaani watu wamuue kisa nn .Fala unatekwa akili na wanasiasi , una safari ndefu sana ya kufuta ujinga.
Nendeni Mlipochukulia Sumu mkasaidie kuzima Moto kwenye Center zao za mafuta.Washamba hao hao Tarime wana mtisha nan ? kila kitu mnaleta siasa na hpo ni msibani.
Washamba mshatekwa , CCM imue mtu ambaye hata elimu hana ,yaani dereva π πNendeni Mlipochukulia Sumu mkasaidie kuzima Moto kwenye Center zao za mafuta.
Nonsense is your mother's assnonsense
We hata mjini inaonekana wakuja .... Hapa sisiem nani aliyesoma ?Washamba mshatekwa , CCM imue mtu ambaye hata elimu hana ,yaani dereva π π
Ushahidi upi ? Ushahidi anatoa Hilda ambaye hayuko TzUshahidi uletewe wewe ***** la kizimkazi, kweli nguruwe mnasafari ndefu.
Mjinga wewe ,umatoka porini na shida zako ,wabara wote ni waporipori...Unadanganywa na wajinga .We hata mjini inaonekana wakuja .... Hapa sisiem nani aliyesoma ?
Si kumejaa elimu mbalimbali hapo ndani mbona wanauana sasa
Samia anavyowaitaga Mbuzi hakosei.
DuuuhMjinga wewe ,umatoka porini na shida zako ,wabara wote ni waporipori...Unadanganywa na wajinga .