Sasa mwenza si tutaua genge lenyewe [emoji23][emoji23]Mwenza jaman mme alisema nichukue tu bureeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji72][emoji72]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeacha kuandika habari za udaku siku hizi.Afu wewe....nakusubiri nyumbaniDemiss ...mama ntilie
Mzigua90.. anauza kagrocery kake
Jolie Jolie ... Muandishi wa habari za udaku
Shunie ... Dada wa saluni
Mama Sabrina ..muuza duka la vyakula
Nitaendelea
Mara hii Bae ameshachafua [emoji23][emoji23]Mwenzaaa usisahau kesho zamu yako kufua kaniki
Utani tu shem
[emoji23][emoji23][emoji23] atakupa kazi ya kuuza PharmacyWewe Mwifwa ukuje huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo ulisema utanipa u HR imekuwaje tena
Mimi natumia jina langu halisi, kazi kwenu bashirini![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji114]karibu jichagulie member ubashir kazi yake
Chai iko wapi hapo lakini mwenza [emoji23]Mwenza umeanza lini chai
Yawezekana hata mm mtoa mada sijaelewaaaa Engineer wangu nipe elimuSawa jitahidi tena unaweza kupatia.
Tatizo hapa tuliowengi hatujafuata jinsi uzi unavyotaka tufuate hatua.
Ukifuata hizo hatua unaweza kubahatisha kazi halisi za watu humu
Kuna nini kingine tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakula kamishen tu pacha
Sijui ni kikongoBha lugha ghani hii?
Haaaa hizo siuzi nina Biringanya [emoji23]Na lemutuz za kutoshaaaa
Naunga mkono hojaKama kawaida yangu ni kupinga kila kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]