Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Sawa jitahidi tena unaweza kupatia.

Tatizo hapa tuliowengi hatujafuata jinsi uzi unavyotaka tufuate hatua.
Ukifuata hizo hatua unaweza kubahatisha kazi halisi za watu humu
Yawezekana hata mm mtoa mada sijaelewaaaa Engineer wangu nipe elimu
 
Kama kawaida yangu ni kupinga kila kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndo zako hizo nakujua
 
Back
Top Bottom