Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Haya mambo mkuu we acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo lugha naichapa vizuri kabisa tofauti na jina langu linavyodirect! ukitaka tuwaache kidogo we lianzishe!
 
Pole aisee!! Tuvumilieni maana hali si hali huyu mzee anaufunguo wa kwenye grisi ila ndo hivyo hataki kutoa.

Unaweza kuwa zamani ulikuwa na hatua 5 saivi ukadrop hadi 2.
Jf is at least our site of relaxation.
Yeaaaaah umeona eeeh wasioelewa ndo huja na mapovu debeee hawajitambui [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…