Lelommassy
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 426
- 398
Hiyo lugha naichapa vizuri kabisa tofauti na jina langu linavyodirect! ukitaka tuwaache kidogo we lianzishe!Haya mambo mkuu we acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo lugha naichapa vizuri kabisa tofauti na jina langu linavyodirect! ukitaka tuwaache kidogo we lianzishe!Haya mambo mkuu we acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutulize majeshi ili twende wote sambamba mkuuHiyo lugha naichapa vizuri kabisa tofauti na jina langu linavyodirect! ukitaka tuwaache kidogo we lianzishe!
Yeaaaaah umeona eeeh wasioelewa ndo huja na mapovu debeee hawajitambui [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pole aisee!! Tuvumilieni maana hali si hali huyu mzee anaufunguo wa kwenye grisi ila ndo hivyo hataki kutoa.
Unaweza kuwa zamani ulikuwa na hatua 5 saivi ukadrop hadi 2.
Jf is at least our site of relaxation.
ahaaaa yuko njian anakujaNakazia hapo kwa hajar
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ahaaaa yuko njian anakuja
Ha ha ha hatimaye umekuja pole kwa kuloa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
niambie nijue ss...sijuiUnajua ulichochochea
[emoji23] [emoji23] hapo kwa mshanaaKubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie
Tayari kafika mkuuahaaaa yuko njian anakuja
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajar yupo lazima utembeeAisee, uzi unatembea hatari
Wewe ni Boss kwenye wizara ya serikali muda mwingi upo free Kwa ajili ya kusign documents tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi. Msona viatu