kulikoni tena jaman
Ameanza kujifunza chai sijui nan kamuambukizaaaa
Nasubiri mrejesho hapaMmh ngoja nije chemba unimegee vizuri
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]nakupenda
ni nsansa ni ndaluMagai mankata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahhaha
Uwiiiiii Bak nilikuwa nazima data ila comment yako imenichekesha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]uwiii hahahahaha cheka kihutu
Kweli mkuu porojooo mingi sana hata mm nashangaaaaaTatizo hapa watu story nyiiiiingi,ww umeambiwa bashiri kazi ya member nilitegemea post nyingi ziweza ubashiri tu km umeamua kumbashiria Demiss basi andika tu hv
Demiss. - Dada wa Saluni
Mshana Jr --Mganga wa Jadi
Tattum. -- Askari Magereza
N.k nadhani itapendeza ikionekana hv sio story Lundo
Unauza baa opozit na tunakopesha upanga kuna ka pub kadogo ndio kwako bishaKama kuna jf member atanipatia nafanya kaz gani, aweke na namba yake ni m m-pese!