Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Tatizo hapa watu story nyiiiiingi,ww umeambiwa bashiri kazi ya member nilitegemea post nyingi ziweza ubashiri tu km umeamua kumbashiria Demiss basi andika tu hv

Demiss. - Dada wa Saluni
Mshana Jr --Mganga wa Jadi
Tattum. -- Askari Magereza
N.k nadhani itapendeza ikionekana hv sio story Lundo
 
Watanzania hatucheki hivyo, ukimsikia anayecheka hivyo basi ujue ni mhutu. 🙂🙂🙂 Usiku mwema na njozi njema.

Uwiiiiii Bak nilikuwa nazima data ila comment yako imenichekesha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]uwiii hahahahaha cheka kihutu
 
Tatizo hapa watu story nyiiiiingi,ww umeambiwa bashiri kazi ya member nilitegemea post nyingi ziweza ubashiri tu km umeamua kumbashiria Demiss basi andika tu hv

Demiss. - Dada wa Saluni
Mshana Jr --Mganga wa Jadi
Tattum. -- Askari Magereza
N.k nadhani itapendeza ikionekana hv sio story Lundo
Kweli mkuu porojooo mingi sana hata mm nashangaaaaa
 
Back
Top Bottom