Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Demiss huyu zamani alianza kufanya biashara za mitandaoni kuuza vitu baadae akala mtaji kwa sasa anatafuta mme.
Mimi nimeshapata mme kuna lingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23]
Mama ntilie niko vizur karibu
IMG-20180502-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom