Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa Mwalimu
Haaa nimekupatiaee[emoji23][emoji23]Sawa sweetlee, mzima weye? Nimeona kazi yako nikabaki natabasamu LoL!
Mimi mzima kaka.Sawa sweetlee, mzima weye? Nimeona kazi yako nikabaki natabasamu LoL!
HahahahahWewe mchaga nasikia una jiko la kitimoto Manzese [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujakosea niko hapa nyanya moja 200 msimu wa kujenga huu[emoji23][emoji23]
Ulete na hela yangu ya masalo ya nyanya. [emoji23]Naondoka ngoja nikakusanye sahani za Mama ntilie nitarud baadae muda wa kudai madeni kwa makondakta huuu [emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72]
Safi kabisa mimi huwa nahisi hivyo hivyo kwa huyu member.....Demiss kiukweli huwa nahisi ni wale wa buguruni kimboka
Wewe ni mtu wa Medicine [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitaje nisitajee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kazi yangu online napatikana JF
[emoji23][emoji23][emoji23] hujamuona na yeye kakazia?Kwa nini unamuonea Dada kiasi hicho
Demiss ananijua hajakosea kazi yanguWewe ni mtu wa Medicine [emoji23]
Haaaa poa kaka🙂🙂🙂 hongera
Khaaaaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23] hujamuona na yeye kakazia?
Acha Demiss mimi ndio nimesema hivyo [emoji23]Demiss ananijua hajakosea kazi yangu
Fanya hivyo utaonaKhaaaaaaa.
Ngoja nirudi nifuate reli nyuma
Sawa jitahidi tena unaweza kupatia.Acha Demiss mimi ndio nimesema hivyo [emoji23]
Sawa usijaliFanya hivyo utaona