sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Hujakosea na kagenge kangu nauzia hapa home [emoji4]Sweetlee -mama wa nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakosea na kagenge kangu nauzia hapa home [emoji4]Sweetlee -mama wa nyumbani
Baadae nitasemaSawa jitahidi tena unaweza kupatia.
Tatizo hapa tuliowengi hatujafuata jinsi uzi unavyotaka tufuate hatua.
Ukifuata hizo hatua unaweza kubahatisha kazi halisi za watu humu
Kama kawaida yangu ni kupinga kila kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Demiss ...mama ntilie
Mzigua90.. anauza kagrocery kake
Jolie Jolie ... Muandishi wa habari za udaku
Shunie ... Dada wa saluni
Mama Sabrina ..muuza duka la vyakula
Nitaendelea
Nalegeza hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Lol.
Nakazia na mie jamaani.
Katika ubora wake[emoji23][emoji28][emoji23] ila wee Demiss wewe...
Sawa nimeachaWewe acha ulongo
Kweli, majaribu kibaoUtapata japo majaribu ni mengiii