Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Kubashiri day karibuni.

Mshana Jr - Mganga wa kienyeji

Mwifwa - Manager NGOs

GENTAMYCINE - Askari magereza keko.

Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha

Prondo - Muuza screpa za Magari

Nalendwa -Huyu madam wa A level History

Hajar -Mother House

Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.

Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

missyrose -Mama ntilie
Kumbe na askari magereza wapo humu, ukute na wafungwa tunao humu humu! Hii nchi ina maajabu mengi sana.
 
Back
Top Bottom