Nifundishe shostWeka na cc ndo patakuwa patamu zaidi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji180] [emoji174]
Nijulie wapi ndugu, mi naziona tu humu. Ila bwana harusi wako atakuwa anajua (Mr. Tunguli)Nifundishe shost
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] tumefika salama na tunarudiNawaombea muanguke na ungo wenu leo kabla hamjafika
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji119][emoji119][emoji119][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] tumefika salama na tunarudi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nijulie wapi ndugu, mi naziona tu humu. Ila bwana harusi wako atakuwa anajua (Mr. Tunguli)
Wepeccccciiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji119][emoji119][emoji119]
Maskini Demiss wanguu [emoji134][emoji134][emoji29][emoji29]Wepeccccciiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kikushangazacho....!!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahahaaaaa....ukiona manyoya?Maskini Demiss wanguu [emoji134][emoji134][emoji29][emoji29]
....ujue amekoswa koswaHahahaaaaa....ukiona manyoya?
Hahahaaa hahaaaaa hahaaaaaaaa....ujue amekoswa koswa
wanaendelea poa bossKwema kabisa
Sjui watoto hawajambo??
Msinichambe sana nipunguzieni kidogoHajielewi kabisa
Kuna amembashiria shem wangu tabia mbaya ...kwamba et ni kahaba ukiacha threads zake imeniuma sana.Uzi unashida ipi sasa ??
Hahaaa. Huoni kama imeongezwa BAK na haifai hata kuonja ujue. [emoji12]Hahahahahaha LoL! Mie sitii neno Emmy eti chumvi imeongezwa kwi kwi kwi kwi LoL! Nipe ruhusa nionje mrembo Emmy kama kweli chumvi imeongezwa
πππ
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Duuhmshana jr..huyu yawezekana ni mtu busara kutokana na mambo ya kiroho aliyojifunza
RRondo ...huyu jamaa ni ni mtu social kila thread utamkuta anatema nondo
shunie....huyu ni mcheshi ila siyo muongeaj saaana mpenzi wa vitabu sana hivyo imagination ni kubwa...
mbitiyaza ....dah huyu anapenda sana utani ...saa nyingine kwenye mambo ya serious kabisa (ref to love connect)
kapeace.... nadhani atakuwa mpolee ila very naughty....
numbisa...ni mtu anayeipenda sana simu na simu yake sidhani inakaa muda mrefu bila kifurushi ...
the list ....hapa mi simo aje tu ajieleze mwenyewe
donlucheese ...huyu atakua ni mtu wa insta maana ma pic kibao ya misosi na mambo mengine...yaani ni mtu wa kuupdate mapichapicha..
emmyta huyu anaweza kupita nyuzi 100 asicomment kama watu hawajamtag
nb huu sio ukweli bali ni makadirio ya kufikirika kwa mtu mmoja na mwengine
Sio kweli kabisa Kaka yangu wivu ninao ila sio wa kiwango hicho.emmtya tunaambiwa eti unaweza kuua kisa wivu. Siamin kama dada yangu ana sifa hiyo
Hahah!, demi wewe!
Halafu sijui yuko off yule, sijamtia kwa macho..