Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Hahahahahaha LoL! Mie sitii neno Emmy eti chumvi imeongezwa kwi kwi kwi kwi LoL! Nipe ruhusa nionje mrembo Emmy kama kweli chumvi imeongezwa
😛😛😛
Hahaaa. Huoni kama imeongezwa BAK na haifai hata kuonja ujue. [emoji12]

Emmy hana wivu wa kiasi hicho bana. [emoji85]
 
mshana jr..huyu yawezekana ni mtu busara kutokana na mambo ya kiroho aliyojifunza
RRondo ...huyu jamaa ni ni mtu social kila thread utamkuta anatema nondo
shunie....huyu ni mcheshi ila siyo muongeaj saaana mpenzi wa vitabu sana hivyo imagination ni kubwa...
mbitiyaza ....dah huyu anapenda sana utani ...saa nyingine kwenye mambo ya serious kabisa (ref to love connect)
kapeace.... nadhani atakuwa mpolee ila very naughty....

numbisa...ni mtu anayeipenda sana simu na simu yake sidhani inakaa muda mrefu bila kifurushi ...
the list ....hapa mi simo aje tu ajieleze mwenyewe
donlucheese ...huyu atakua ni mtu wa insta maana ma pic kibao ya misosi na mambo mengine...yaani ni mtu wa kuupdate mapichapicha..
emmyta huyu anaweza kupita nyuzi 100 asicomment kama watu hawajamtag
nb huu sio ukweli bali ni makadirio ya kufikirika kwa mtu mmoja na mwengine
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Duuh

Haya bana.
 
Back
Top Bottom