Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

witnessj anajielewa sana ni mtu mwenye ufahamu mkubwa wa maisha. nahisi alikua vizuri sarasani.
monde arabe ana tabia za kike na kiume bado haijulikani ni jinsia gani haswa
 
Demiss

[emoji830]Mwanafunzi CBE/Alisoma CBE.
[emoji830]Anacheka muda wote, hata ukimkera atacheka kinafiki.
[emoji830]Anapenda sana handbags, yuko tayari atumie pesa ya kula lakini si kuacha handbag impite hivihivi.
[emoji830]Anapenda sana outing, hata umshitukize yupo kitandani ataahirisha usingizi wake.
[emoji830]Anapenda kuongea na kufurahi na kila mtu, hii imewafanya wanaume huko mitaa yake wamsumbue wakidhani watakubalika kiurahisi, lakini wamekuwa wakiambulia patupu[emoji28]..
******************* '
Naimani hata muda huu kaacha kufua nguo ,anajiandaa baada ya kushtukizwa kwa mtoko.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiyo ya kucheka kinafki wallah hujakosea

Hiyo ya mtoko kweli nimeacha taulo sjalifua nataka tutoke au kuna mtu kakwambia nn
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom