Akili Sina
JF-Expert Member
- Jan 18, 2018
- 303
- 2,248
Baba Mtakatifu : Bonge la mtu , alafu lina kitambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaaaa,zmeshafka mamaaaa!Hahahaa we Monde nakusalimia
Kuku ameliwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaa....ukiona manyoya?
Pole. Usijute. Ni mtazamo wakeKuna amembashiria shem wangu tabia mbaya ...kwamba et ni kahaba ukiacha threads zake imeniuma sana.
aahhghh achana nao hao ..binaadamu kazaliwa ana semwa mkuu "" huwezi kumzuia mtu kusemaKuna amembashiria shem wangu tabia mbaya ...kwamba et ni kahaba ukiacha threads zake imeniuma sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yan shemej yako unamuita mr tunguliNijulie wapi ndugu, mi naziona tu humu. Ila bwana harusi wako atakuwa anajua (Mr. Tunguli)
Nifundishe basi hiyo cc jaman [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Jaman nimefanyaje tena mbn comment yako ya uchunguMaskini Demiss wanguu [emoji134][emoji134][emoji29][emoji29]
Umeona anapita kusoma comment huyuLol🙂🙂🙂🙂 am speechless
Huyo tunae mbonaUmeona anapita kusoma comment huyu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiyo ya kucheka kinafki wallah hujakoseaDemiss
[emoji830]Mwanafunzi CBE/Alisoma CBE.
[emoji830]Anacheka muda wote, hata ukimkera atacheka kinafiki.
[emoji830]Anapenda sana handbags, yuko tayari atumie pesa ya kula lakini si kuacha handbag impite hivihivi.
[emoji830]Anapenda sana outing, hata umshitukize yupo kitandani ataahirisha usingizi wake.
[emoji830]Anapenda kuongea na kufurahi na kila mtu, hii imewafanya wanaume huko mitaa yake wamsumbue wakidhani watakubalika kiurahisi, lakini wamekuwa wakiambulia patupu[emoji28]..
******************* '
Naimani hata muda huu kaacha kufua nguo ,anajiandaa baada ya kushtukizwa kwa mtoko.
[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiyo ya kucheka kinafki wallah hujakosea
Hiyo ya mtoko kweli nimeacha taulo sjalifua nataka tutoke au kuna mtu kakwambia nn
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] [emoji2] [emoji2]
Na mifupa yakeKuku ameliwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jaman nimefanyaje tena mbn comment yako ya uchungu
Namshukuru Mungu Tabia yangu haijulikani kwenu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]