hahaa naskia umerithi mikoba yakeKiringo...
Dah! Niombe samahani.hahaa naskia umerithi mikoba yake
hahaa samahani mkuuDah! Niombe samahani.
Nikiweka atakuwa hataki kuchat na mimi.nasubiria sifa ya cha mdeko mkuu
Nyani Ngabu - huyu jamaa ni jasiri
Ana busara na hekima anapojenga hoja
Ana msimamo sana pia Ana akili na maarifa, Ana Sauti ya mamlaka, ni mtu wa revenge ukimkera sana, Ana character za uongozi pia apendi uzeee
I guess IQ yake ipo Hai.....
Mtazamo wako tuNyani Ngabu - huyu jamaa ni jasiri
Ana busara na hekima anapojenga hoja
Ana msimamo sana pia Ana akili na maarifa, Ana Sauti ya mamlaka, ni mtu wa revenge ukimkera sana, Ana character za uongozi pia apendi uzeee
I guess IQ yake ipo Hai.....
Dah asante ila Google naitumia kupata tupichapicha tuuKiranga= mtata na mbishi kupindukia japokuwa ni muelewa wa mambo mengi.
Faiza Foxy=mbishi na mgomvi mgomvi fulani hivi ila ana uelewa wa hali ya juu.
Mshana jnr = huyu ni mtaalam wa ku-google vitu na kuvichanganua kwa faida ya wengi pia ana busara.
Wapo wengi ambao kwa uandishi wao utawajua tabia zao kirahisi tu
Naimiss kampani ya mabiboHabari za majukumu wakubwa na wadogo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
* Ushimen: ni mtu wa kawaida hapendi kujaa hasira sana.
* Mshana Jr: huyu nilishakunywa nae soda sina haja ya kubashiri.
* Bujibuji: hapendi kucheka cheka lakini hata hivyo hana hasira za karibu mpaka umkere.
* Daby: hapendi kukera ila ukimkera uvumilivu hana anaweza kukuvuruga mbavu.
* Kasie: huyu mama ni mzee lakini anapenda sifa sifa ukimsifia umemdaka.
Gentamycine: hana shida na mtu anapenda kuficha hasira zake lakini zenyewe zinafika kipindi zinamzidia.
Shunie: ni mcheshi mcheshi kidogo sio sana na pia hana tabia ya kuzira ovyo ila anaweza kukupeleka kuzimu ukipitiliza.
Emmyta: Ana wivu sana sema anaficha kidogo ila anaweza kukuuwa kwa wivu.
Wangu ni hao kama unawajua wengine ongezea...
Nahisi Mwifwa atakua anazo sifa zake nyingine .. nahisi tu Demissnasubiria sifa ya cha mdeko mkuu
Unataka kuvolunteer? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeshapata mtu wa kukuchuna kwanza