Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

GuDume= Huyu jamani akili zake zimejaa ngono tu. Anatumia 89% za ubongo wake kuwaza ngono. Anakula ngono, analala ngono, kiufupi anaziishi ngono.

The Bold= huyu jamaa ni mtu mmoja makini sana. Ana uwezo mkubwa sana wa uandishi wa kiuchunguzi. Ukisoma post yake moja unakuwa addicted na maandiko yake.

Nichumunibebike=Ikiwa huyu jamaa ni wa kiume basi he needs a serious uponyaji otherwise anaelekea kuwa homosexual.

Ni maoni/mtizamo wangu tu sio sheria.
 
Aiseeee.....

Deadbody-Makin kuchambua kile anachokipenda(anapenda kuwa tofauti kwa faida ya umma au jamii) [mpenda kuelimisha watu ila mchesh]

Mwifa-makin kusikiliza na kujibu haraka kwa ukomo WA uhitaj WA swali au hoja.haaah [multipurpose to social issues]

Daby-Mfuata hisia,mpenda kupenda na kupendwa ila mgumu kubadilishwa /kukubali.Anaona fahar kuwapatansha watu.

Emmyta-Msiri,jasiri,na mvumiliv ,HUJITAHD KUMPA MTU FURAH ILA..........kauzu flan akiwa nje ya keyboard
 
Kiranga= mtata na mbishi kupindukia japokuwa ni muelewa wa mambo mengi.

Faiza Foxy=mbishi na mgomvi mgomvi fulani hivi ila ana uelewa wa hali ya juu.

Mshana jnr = huyu ni mtaalam wa ku-google vitu na kuvichanganua kwa faida ya wengi pia ana busara.

Wapo wengi ambao kwa uandishi wao utawajua tabia zao kirahisi tu
Dah asante ila Google naitumia kupata tupichapicha tuu
 
Habari za majukumu wakubwa na wadogo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

* Ushimen: ni mtu wa kawaida hapendi kujaa hasira sana.
* Mshana Jr: huyu nilishakunywa nae soda sina haja ya kubashiri.
* Bujibuji: hapendi kucheka cheka lakini hata hivyo hana hasira za karibu mpaka umkere.
* Daby: hapendi kukera ila ukimkera uvumilivu hana anaweza kukuvuruga mbavu.
* Kasie: huyu mama ni mzee lakini anapenda sifa sifa ukimsifia umemdaka.
Gentamycine: hana shida na mtu anapenda kuficha hasira zake lakini zenyewe zinafika kipindi zinamzidia.
Shunie: ni mcheshi mcheshi kidogo sio sana na pia hana tabia ya kuzira ovyo ila anaweza kukupeleka kuzimu ukipitiliza.
Emmyta: Ana wivu sana sema anaficha kidogo ila anaweza kukuuwa kwa wivu.

Wangu ni hao kama unawajua wengine ongezea...
Naimiss kampani ya mabibo
 
1.The List= jamaa ni bonge la smart, genius, na mwenye msimamo!...hapendi ujinga ujinga hata kidogo, akikuchamba humu unaeza jihisi we ni wa ovyoo mnoo!

2.Nandera= ni mdada smart na anajua vitu vingi mnoo

3.Avatar mok= huyu jamaa anapenda sana utani, kitu serious yy anachomekea stori zake za vijiweni, halafu yuko obsessed na witnessj, hata kama mada hainihusu lazima achomekee jina langu[emoji23] [emoji23] [emoji23] !!
 
nasubiria sifa ya cha mdeko mkuu
Nahisi Mwifwa atakua anazo sifa zake nyingine .. nahisi tu Demiss
1. Anadeka as usual
2. Ana kitumbua kizuriiii matatttta hatariii
3. Ana nguvu noma mwanaume ukiwa Lele mama unashangaa na uanaume wako umekufa hotelini bonge hana hamu na tototundu hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Cc Smart911
 
Back
Top Bottom