Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Hahahaaaa. Nimecheka hapo kwenye Usiri. Lol. Ujue we ni mtu wa pili kuandika ulichoandika.

theriogenology naye ashawahi andika sehemu hivi kuhusu Emmy.

Ila ahsante sana kwa kunielewa. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Ahsante sana na kweli nami huwa naamini siku zote jf ni watu na watu wenyewe ndio sisi.

Ubarikiwe sana Kaka ake kwa kuuona uwepo wa Emmy jf una manufaa.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Dada Emmy hearly ni mwanaume au mwanamke

Chomaweeeeeee nitaumbuka leo mm
Hahaaa. We Demiss wewe ndio swali gani hili mdogo wangu. [emoji85]

Naamini angekuwa sio angeshaniambia kitambo sababu hearly hizi Kaka Kaka zangu amezipata sana yaani na hajawahi niambia kwamba hazimstahili.

Kaka hearly hebu njoo kwani una utani na Demiss au mie ndio sina nijualo? Teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…