Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
-
- #81
Umebug huyo wa kwanza sio mcha Mungu bali ana act tu, so u ajua nyuma ya key board kila mtu ni tajiri.Heaven sent ni binti ambae umri wake ni 23-27. Mcha Mungu na pia ni mshauru mzuri.
Sky eclat. Doctor by professional and very caring mother abd friend.
Hata mimi umeshindwa?Kubashiri ID fake na uhalisia ni changamoto kubwa sana...
Unaweza kubashiri hivi lakini kiuhalisia ni tofauti kabisa...
Hizi ID fake zinaficha mambo mengi kiukweli.
(Naomba niishie hapa tafadhali)
Nimeona nisikujibu kwa heshima Yake Heaven SentUmebug huyo wa kwanza sio mcha Mungu bali ana act tu, so u ajua nyuma ya key board kila mtu ni tajiri.
Nilivyosema hivyo sijamaanisha ni kwa wote my dear PyaarHata mimi umeshindwa?
We rusha tu.......siku moja moja kuwafaidisha sio mbayaSitaki nikurushie mpesa kuwafaidisha watu wa mitandao ...nataka nije nikupe mkononi kama laki moja ya soda.
Asante chief[emoji4][emoji1]hapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu
though nafurahishwa na uwepo wa Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile
list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo. nakinachonifnya niwakubali nimichango yao wanayoitoa kimawazo inayosaidia kuifnya jf izidi kuwa na umri mrefu"" tabia zao nikupenda kwao kuwa active JF kila wakati "" nashindwa kuelezea sifa ya kila mtu mmoja mmoja kwa sbabu list nikubwa nahisi nikianza kuelezea hapa nitajikuta nime type MWANANCHI GAZETI
hahahaaa huyo achana nae wala asikupe shida ...hahaa nimeshamzoea aiseee
hahaaaaAsante chief[emoji4][emoji1]
Ila uache kunifanyia roho mbaya kwa Mzigua aisee sio vizuri kabisa [emoji20][emoji20]
hahaaa nilishakwambia kuwa mimi ni she male ..sasa tatizo lako nini
Huyu Heaven sent natamani kumfahamu zaidi [emoji45]Heaven sent ni binti ambae umri wake ni 23-27. Mcha Mungu na pia ni mshauru mzuri.
Sky eclat. Doctor by professional and very caring mother abd friend.
Hahahaa. Bora umetia neno sababu nimejikuta naona aibu. Lol.hahahaaa huyo achana nae wala asikupe shida ...hahaa nimeshamzoea aiseee
hahaaa unapoelekea sasa itabidi nimwambie kaka yngu the list ..akushughulikie
Nahisi ni binti asiye na mawaa Heaven Sent njoo ufahamiweHuyu Heaven sent natamani kumfahamu zaidi [emoji45]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hamna uhalisia wowote
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Cha mdeko: ukimuona ni kama mtulivu ila ana asili ya ubishi, kitu kidogo kwake kinakua kikubwa na hamalizi hasira kwa karibu.
huyo ..wala hanipi shida mkuu..anatka kujua jinsia yangu kama ni me ..ilianifnye kama alivyomfnya bonge wawatuHahahaa. Bora umetia neno sababu nimejikuta naona aibu. Lol.
Leo atanitambua huyu mtu hanijui vizur
Hahahaa. Anataka akuzimishe lol.huyo ..wala hanipi shida mkuu..anatka kijua jinsia yangu kama ni me ..ilianifnye kama alivyomfnya bonge wawatu
Akija unitag tafadhali naomba [emoji4]Nahisi ni binti asiye na mawaa Heaven Sent njoo ufahamiwe