Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

hapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu

though nafurahishwa na uwepo wa Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile

list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo. nakinachonifnya niwakubali nimichango yao wanayoitoa kimawazo inayosaidia kuifnya jf izidi kuwa na umri mrefu"" tabia zao nikupenda kwao kuwa active JF kila wakati "" nashindwa kuelezea sifa ya kila mtu mmoja mmoja kwa sbabu list nikubwa nahisi nikianza kuelezea hapa nitajikuta nime type MWANANCHI GAZETI
Asante chief[emoji4][emoji1]

Ila uache kunifanyia roho mbaya kwa Mzigua aisee sio vizuri kabisa [emoji20][emoji20]
 
Hahaaa. We Demiss wewe ndio swali gani hili mdogo wangu. [emoji85]

Naamini angekuwa sio angeshaniambia kitambo sababu hearly hizi Kaka Kaka zangu amezipata sana yaani na hajawahi niambia kwamba hazimstahili.

Kaka hearly hebu njoo kwani una utani na Demiss au mie ndio sina nijualo? Teh
hahahaaa huyo achana nae wala asikupe shida ...hahaa nimeshamzoea aiseee
 
Hahaaa. We Demiss wewe ndio swali gani hili mdogo wangu. [emoji85]

Naamini angekuwa sio angeshaniambia kitambo sababu hearly hizi Kaka Kaka zangu amezipata sana yaani na hajawahi niambia kwamba hazimstahili.

Kaka hearly hebu njoo kwani una utani na Demiss au mie ndio sina nijualo? Teh
Leo atanitambua huyu mtu hanijui vizur
 
Back
Top Bottom