hapo kwa
The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu
though nafurahishwa na uwepo wa
Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile
list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo. nakinachonifnya niwakubali nimichango yao wanayoitoa kimawazo inayosaidia kuifnya jf izidi kuwa na umri mrefu"" tabia zao nikupenda kwao kuwa active JF kila wakati "" nashindwa kuelezea sifa ya kila mtu mmoja mmoja kwa sbabu list nikubwa nahisi nikianza kuelezea hapa nitajikuta nime type MWANANCHI GAZETI