Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

mwifwa a very coool guy humu jf hapendi makuu...
beira boy dah huyu jamaa hana hasira mwongo mwongo sana kutokana na nyuzi zake anaonekana anapenda sana stori...
gudume huyu namwona kama middle aged flani hivi mpole nyumbani ukorofi wake ndo anatusumbua humu...
demiss ....huyu kama ameolewa mme wake atakua hajui yuko jf maana.......
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkuu umefikiria mbali sana aiseeee kama ningekuwa na mme jf angeshanipiga kibuti au sioooo
 
Back
Top Bottom