dictator cha pombe
JF-Expert Member
- Mar 5, 2018
- 260
- 259
Nini maana ya huu Uzi ikiwa fikira zangu unazipinga?Hapana hujatenda haki kabisa... Ikikupendeza waweza kuomba radhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya huu Uzi ikiwa fikira zangu unazipinga?Hapana hujatenda haki kabisa... Ikikupendeza waweza kuomba radhi
hahaa waaala umejiongopea aiseeeHahahahha na hivi nna akili kubwa kama anko wangu,mbona nshajiongeza
Juta tuNajuta kuanzisha uzi.
Najuta kuanzisha uzi.Demis ni kahaba according to threads zake
Kwaiyo nikusaidie nini?Najuta kuanzisha uzi.
1.The List= jamaa ni bonge la smart, genius, na mwenye msimamo!...hapendi ujinga ujinga hata kidogo, akikuchamba humu unaeza jihisi we ni wa ovyoo mnoo!
2.Nandera= ni mdada smart na anajua vitu vingi mnoo
3.Avatar mok= huyu jamaa anapenda sana utani, kitu serious yy anachomekea stori zake za vijiweni, halafu yuko obsessed na witnessj, hata kama mada hainihusu lazima achomekee jina langu[emoji23] [emoji23] [emoji23] !!
Nakazia kwa The List ni mtu mwenye akili kubwaz na hapendi ujinga ujinga na haogopi chochote anajiamini sanahapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu
though nafurahishwa na uwepo wa Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile
list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo. nakinachonifnya niwakubali nimichango yao wanayoitoa kimawazo inayosaidia kuifnya jf izidi kuwa na umri mrefu"" tabia zao nikupenda kwao kuwa active JF kila wakati "" nashindwa kuelezea sifa ya kila mtu mmoja mmoja kwa sbabu list nikubwa nahisi nikianza kuelezea hapa nitajikuta nime type MWANANCHI GAZETI
Siku moja siled 7Hahhhhhaaaaaa anatafuta kiki kwa nguvu zote
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
hahaha hapa nadhani umeamini sikukosea makadirio yangu...Yan mtto wa kike nikajiachia full kujiachia kumbe naingia chooo cha kikeView attachment 709535
Awe mtu wa humu kiviplabda awe mtu wa humuhum
From this very moment.... Save this dayRasmi kabisaaa nasubiri uthibitishoooo wako tu nianze kuringaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85] akiii wewe utakuwa unanijua jaman nje ya jf hiyo ya kuzira sio la kuuliza kuhusu ucheshi ninao kidogo kama ulivyosema ebu niambie we ni nani jaman utakuwa unanijua tu shunie mmHabari za majukumu wakubwa na wadogo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
* Ushimen: ni mtu wa kawaida hapendi kujaa hasira sana.
* Mshana Jr: huyu nilishakunywa nae soda sina haja ya kubashiri.
* Bujibuji: hapendi kucheka cheka lakini hata hivyo hana hasira za karibu mpaka umkere.
* Daby: hapendi kukera ila ukimkera uvumilivu hana anaweza kukuvuruga mbavu.
* Kasie: huyu mama ni mzee lakini anapenda sifa sifa ukimsifia umemdaka.
Gentamycine: hana shida na mtu anapenda kuficha hasira zake lakini zenyewe zinafika kipindi zinamzidia.
Shunie: ni mcheshi mcheshi kidogo sio sana na pia hana tabia ya kuzira ovyo ila anaweza kukupeleka kuzimu ukipitiliza.
Emmyta: Ana wivu sana sema anaficha kidogo ila anaweza kukuuwa kwa wivu.
Wangu ni hao kama unawajua wengine ongezea...
Anaona utamiliki vitu vizur mama Afrika 100%Lips zimemchanganya
Naomba niwie radhi....Nini maana ya huu Uzi ikiwa fikira zangu unazipinga?
Yawezekana chezea Mshana weweisije kuwa mshana jr kakushikisha tunguli ss huoni vizuri
Nani ss huyo wa pembeni Nalendwa!
Jana amenikubali uyo dogo the List japo ni adui yangu lakini kanielewa harakati zanguNakazia kwa The List ni mtu mwenye akili kubwaz na hapendi ujinga ujinga na haogopi chochote anajiamini sana
nearly nakukubali pia [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji3][emoji3][emoji3]siyo kwa jicho hilo ulilompiga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sawa