Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Kuna mmoja apo lazima ana sifa binafsi hujataka tu kuchambua vizuri
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sio asili yako.. Real haters are reading silently
Kwamba ndio hivo vijiba vinawakaba au!!
[emoji23][emoji28][emoji23] hahaha aisee nimecheka wakati nataka nivimbe hapa nikasirikee [emoji19][emoji19][emoji20][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji35][emoji20][emoji19][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hujaona hapo Nalendwa amekupa Heaven sent why kuwe na wivuuu tena ?

Hata mm ni hater namba 1 kwakooo
Always love never hate.. Even your rivals treat them with love.. No matter how much they hate you... Jus love dem... You will always stay health happy and forever young... While they get old worn out and always sick.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…