Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

hapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu

though nafurahishwa na uwepo wa Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile

list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo. nakinachonifnya niwakubali nimichango yao wanayoitoa kimawazo inayosaidia kuifnya jf izidi kuwa na umri mrefu"" tabia zao nikupenda kwao kuwa active JF kila wakati "" nashindwa kuelezea sifa ya kila mtu mmoja mmoja kwa sbabu list nikubwa nahisi nikianza kuelezea hapa nitajikuta nime type MWANANCHI GAZETI

hearly Barikiwa dear, nafurahishwa na uwepo wako na uchangamfu wako pia JF, pamoja na kuichangamsha.

You're a Blast!
 
173866.jpg
411449.jpg

Thijui kwa nini nimekumbuka tu ule Uthemi Unathema a picture is worth a Thousand words..

Heaven Sent happy happy Friday T...ake! 😀
 
Aiseeee.....

Deadbody-Makin kuchambua kile anachokipenda(anapenda kuwa tofauti kwa faida ya umma au jamii) [mpenda kuelimisha watu ila mchesh]

Mwifa-makin kusikiliza na kujibu haraka kwa ukomo WA uhitaj WA swali au hoja.haaah [multipurpose to social issues]

Daby-Mfuata hisia,mpenda kupenda na kupendwa ila mgumu kubadilishwa /kukubali.Anaona fahar kuwapatansha watu.

Emmyta-Msiri,jasiri,na mvumiliv ,HUJITAHD KUMPA MTU FURAH ILA..........kauzu flan akiwa nje ya keyboard
Agiza kinywaji hapo bill leta kwangu
 
Nahisi Mwifwa atakua anazo sifa zake nyingine .. nahisi tu Demiss
1. Anadeka as usual
2. Ana kitumbua kizuriiii matatttta hatariii
3. Ana nguvu noma mwanaume ukiwa Lele mama unashangaa na uanaume wako umekufa hotelini bonge hana hamu na tototundu hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc Smart911
Hahahahahahaaaaa
 
hapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu

though nafurahishwa na uwepo wa Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile

list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo. nakinachonifnya niwakubali nimichango yao wanayoitoa kimawazo inayosaidia kuifnya jf izidi kuwa na umri mrefu"" tabia zao nikupenda kwao kuwa active JF kila wakati "" nashindwa kuelezea sifa ya kila mtu mmoja mmoja kwa sbabu list nikubwa nahisi nikianza kuelezea hapa nitajikuta nime type MWANANCHI GAZETI
Ahsante Mwenye kiti.

Naunga hoja mkono kwa asilimia zote.

Naomba kuwasilisha!![emoji405] [emoji405]
 
Back
Top Bottom