ila jamaa toka mwendazake aondoke yupo kimya sana hajawahi kuongea anajua msala wake
Bashiru kwa sasa hana tena matumaini ya kubakia ndani ya chamaItakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Uwezekano huo upo mkubwa sana maana kambale hawezi kusahau mtoni..labda Dr.Bashiru amerudi ktk chama chake cha zamani CUF.
Ipo siku tutajua wale watu waliokuwa wanapotea nini chanzoila jamaa toka mwendazake aondoke yupo kimya sana hajawahi kuongea anajua msala wake
Lakini kumbukeni. Ngoma bado haijatulia. Hata hawa unaowataja hapa kesho wanaweza kuwa kwenye hali ngum,u kuliko huyo Bashiru. Hakuna mwenye mkataba na Mungu. Ndiyo maana tunasema katiba mpya ni kipaumbele muhimu kuliko kitu chochote ili yaliyotokea yasijirudie tena.Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Kinachotakiwa ni kutenda haki na kwa mujibu wa sheria! Aidha katiba mpya ni muhimu.Lakini kumbukeni. Ngoma bado haijatulia. Hata hawa unaowataja hapa kesho wanaweza kuwa kwenye hali ngum,u kuliko huyo Bashiru. Hakuna mwenye mkataba na Mungu. Ndiyo maana tunasema katiba mpya ni kipaumbele muhimu kuliko kitu chochote ili yaliyotokea yasijirudie tena.
Aissee, yani things are no longer at ease and they are falling apart in the river between !!Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
View attachment 2170762
Haya masikio siyo ya tz kabisa