Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Kunasehem kama kunamtu anatafutwa hvi, ila ngoja tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba JPM alikuwa boss wa JK? Sijui tunatafuta justification gani! Dr Bashiru kwa vyeo alivyopitia hana hasara! Zaidi amejenga CV ambayo wewe na mimi na ukoo wetu tunaweza tusifikie! Let us discuss issues na sio watu!Aongee nini anaona aibu kwa kuwa wengi aliokuwa anawashughulikia wamekuwa mabosi wake!
Biashara ya meno ya tembo itashamiri sana kipindi hiki.Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Watoto wa mjini wanasema kawekewa ngwakayaani CCM kama hawampendi Bashiru si wamuue / wamfute uraia aende burundi tuu! maana kila kukicha anaongezewa stress mwisho wa siku atajinyonga yule mzee.
Angerudi....angeachia na ubunge..labda Dr.Bashiru amerudi ktk chama chake cha zamani CUF.
Ndani ya CCM mabadiliko ni kitu cha kawaida. Kumbuka wakati Makamba anaingia kwenye Ukatibu Mkuu Mangula alifanyiwa figisi za nguvu na wanamtandao wakati anatoka ndani ya ukumbi akakuta gari yake ya Ukatibu Mkuu limeshachukuliwa hadi akaomba lift lakini baada ya miaka mitatu akachaguliwa kuwa Makamo wa Mwenyekiti Bara. Kwa hiyo haya si mageni ndani ya CCM. Labda ni mageni kwa wana CDM.Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
What does it profit a man by gaining the whole world and lose his soul?Kwamba JPM alikuwa boss wa JK? Sijui tunatafuta justification gani! Dr Bashiru kwa vyeo alivyopitia hana hasara! Zaidi amejenga CV ambayo wewe na mimi na ukoo wetu tunaweza tusifikie! Let us discuss issues na sio watu!
Hasa ile ya cartoon ya kichwa kikubwa!View attachment 2170755
Bila picha uzi utanogaje sasa
Ukiwa mnyoofu kwa maadili ya uongozi kitu walichokafanya Kinana, Makamba Sir, Makamba son na Nape hawakupaswa kurudi kuwa viongozi kabisa! Sema tu kwakuwa Mamanae ndiyo timu yakeItakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Mkuu jinsi tu ulivyoandika inaonekana una maumivu makali sana. Unatafuta faraja kwa lazima.Mnajichanganya sana. Kwanza Dr Bashiru hajawahi kuwa na interest na siasa! Hana analopoteza zaidi ya maumivu moyoni mwake kwa Watanzania wenye akili ya kiwango chako!
Usimsikitikie Dr Bashiru, kwa levels zake yeye wala watoto wake hawatokuja kupata njaa. Kaa ujifikirie wewe na kizazi chako!
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Eti?Bashiru kuikimbia nchi
Ila pasipo kushangalia ujio wa kishindo, na kwa namna ile ile ya awali, yaani ujio wa kivingine wa "ari mpya, nguvu mpya, na kasi mpya" slogan iliyoibuliwa na Prof. Mukandala huyu huyu.Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Hivi ndiye huyu?😂😂😂😂View attachment 2170755
Bila picha uzi utanogaje sasa