Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Ccm inajiandaa na uchaguzi kamili usio na topetopez masalia yoote yanatolewa
 
Naona tunajikumbusha kidogo .
IMG-20220331-WA0111.jpg
 
Kwamba JPM alikuwa boss wa JK? Sijui tunatafuta justification gani! Dr Bashiru kwa vyeo alivyopitia hana hasara! Zaidi amejenga CV ambayo wewe na mimi na ukoo wetu tunaweza tusifikie! Let us discuss issues na sio watu!
Watu ndiyo wanajenga issues hivyo ku -discuss watu ni kutafuta utofauti wa mawazo yao?
 
Ndani ya CCM mabadiliko ni kitu cha kawaida. Kumbuka wakati Makamba anaingia kwenye Ukatibu Mkuu Mangula alifanyiwa figisi za nguvu na wanamtandao wakati anatoka ndani ya ukumbi akakuta gari yake ya Ukatibu Mkuu limeshachukuliwa hadi akaomba lift lakini baada ya miaka mitatu akachaguliwa kuwa Makamo wa Mwenyekiti Bara. Kwa hiyo haya si mageni ndani ya CCM. Labda ni mageni kwa wana CDM.
Umetapika pumba!
 
Ukiwa mnyoofu kwa maadili ya uongozi kitu walichokafanya Kinana, Makamba Sir, Makamba son na Nape hawakupaswa kurudi kuwa viongozi kabisa! Sema tu kwakuwa Mamanae ndiyo timu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinana kuna jambo anataka kulilinda lisije likampasukia!
 
Ila pasipo kushangalia ujio wa kishindo, na kwa namna ile ile ya awali, yaani ujio wa kivingine wa "ari mpya, nguvu mpya, na kasi mpya" slogan iliyoibuliwa na Prof. Mukandala huyu huyu.

Uongozi wa sasa unalazimika kuendeleza na kudumisha mazuri yaliyofanywa na mwendazake. Wananchi wa kada ya chini walimkubali, kumuhusudu na kumwamini.

Wakishindwa kufanya hivyo, utazaliwa upinzani ndani ya CCM, yaani CCM Mpya yenye kumuwakilisha na CCM Maslahi ya hawa wanamtandao na wafanyabiashara wanaokishikilia chama na serikali yake.

Hizi sauti zinazosikika kuhusu haja ya kuwaindoa wahuni waliopo ndani ya chama si za kubeza. Chama kikubwa na kikongwe husambaratika kupitia "its internal weaknesses" na wala siyo kwa kupitia "its external threats"
Magufuli alikuwa jambazi, muuaji na fisadi hakuna cha kukumbuka kutoka kwake zaidi ya maumivu!
 
Kwanza elewa jambo moja. Siwezi kusimama bega kwa bega na mtu anaye haribu nchi. Kwa mfano simsapoti makamba na katakata yake ya umeme.

Pilo elewa kwamba siwezi kusimama bega kwa bega na mtu anaye tawala kwa kukandamiza wenzake. Mathalani magufuli akishirikiana na watendaji kazi alio wateua alisababisha watu waishi kama mashetani. Walimie meno, waishi kwa hofu, watu kupotea ubinywaji wa haki za watumishi n.k. kwahio kila upande una mabaya yake.
in your immature mind unadhani makamba anapenda Sana kuchezea switch za Umeme?[emoji16]
 
bashiru Yuko ki strategy zaidi,haropoki,Yuko kimya,,,,huyo lazima atarudi. juu
 
in your immature mind unadhani makamba anapenda Sana kuchezea switch za Umeme?[emoji16]
Sera zake ni very immature ku run ishu nyeti kama za nishati ya taifa. Hence the guy has proved failure. Na chance ya yeye kuendelea kuwepo hapo ni kwasababu ya backup aliyonayo na wala sio utendaji kazi uliotukuka. Yasiwe mengi muda utaongea
 
Ila pasipo kushangalia ujio wa kishindo, na kwa namna ile ile ya awali, yaani ujio wa kivingine wa "ari mpya, nguvu mpya, na kasi mpya" slogan iliyoibuliwa na Prof. Mukandala huyu huyu.

Uongozi wa sasa unalazimika kuendeleza na kudumisha mazuri yaliyofanywa na mwendazake. Wananchi wa kada ya chini walimkubali, kumuhusudu na kumwamini.

Wakishindwa kufanya hivyo, utazaliwa upinzani ndani ya CCM, yaani CCM Mpya yenye kumuwakilisha na CCM Maslahi ya hawa wanamtandao na wafanyabiashara wanaokishikilia chama na serikali yake.

Hizi sauti zinazosikika kuhusu haja ya kuwaindoa wahuni waliopo ndani ya chama si za kubeza. Chama kikubwa na kikongwe husambaratika kupitia "its internal weaknesses" na wala siyo kwa kupitia "its external threats"
vyama Vya kijamaa havifagi Mzee,,,[emoji44]cheki Cuba,china,Venezuela etc,,mizizi yake imejichimbia chini sana
 
Sera zake ni very immature ku run ishu nyeti kama za nishati ya taifa. Hence the guy has proved failure. Na chance ya yeye kuendelea kuwepo hapo ni kwasababu ya backup aliyonayo na wala sio utendaji kazi uliotukuka. Yasiwe mengi muda utaongea
how,,explain, anakosea wapi?
 
Back
Top Bottom