Trust me kuna siku mtakuja kumkumbuka Dr. Bashiru hata kama hamtaki. Tangu nianze kuona Bi Hangaya anasoma ovyo, anafanya teuzi sizielewi, anajitetea ni mwanamke, anasafiri bila sababu za msingi, haoneshi mwelekeo ndio kwanza ilikuwa 2021 yeye yuko busy na kujiandaa na uchaguzi wa 2025, anawaambia mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao, n.k
Kuna mambo mengi sana ukimpima Hangaya unaona kwa nini Dr. Bashiru hakumkubali. Bashiru ni mbaya ndio, msafi nani pale kijani? Siwezi shangaa mtu asiye wa inner circle kumkataa Hangaya, waliomkubali tushawajua na tunawaona wanatangaza scheduled maintenance, kesho maji yamepungua, keshokutwa mafuta yamepanda, baadae mbia wa mifumo ya uendeshaji. Hauhitaji akili nyingi kufanya assessment kuwa hapa tusubiri muda uende tu ila tusitarajie maajabu. Nchi yenye kiongozi mwenye akili angalau za kufaulu kidato cha sita akishakuwa mzalendo na mwenye uwezo aliyestahili, hakuna mpuuzi yeyote anaweza jaribu kusema ng'ombe wamekunya na kukojoa mtoni wakasababisha samaki kufa