Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

ila jamaa toka mwendazake aondoke yupo kimya sana hajawahi kuongea anajua msala wake
Hata ungekuwa wewe Bwasheee..... usingeongea.... ni kama unamla demu afu wkt unashusha wangu anakudidimiza dole la mkkundd.... huwezi kutoka hadharani uje kutuambia....
 
Unateseka kutokea wapi? Chattle au Simiyu?
Haya mambo ya kuzozana kikabila nahisi ni psychological comfort kwa wale munaoamini mulionewa kikabila kama Mbowe. Tatizo ni hiyo hali ya kuamini kuna kanda inayoitwa ya kaskazini ambayo sasa akina Kinana wa Arusha hawako pamoja na akina Mbowe wa Kilimanjaro.

Kwa kuwa Kilimanjarto imejidai wao wana chama chao cha kikabila kwa miaka hii ya upinzani na kujiengua kabisa kutoka uongozi wa juu wa CCM, Kilimanjaro itaendelea kulia-lia miaka yote. Leo Nani atasema kanda ya kaskazini wakati Arusha wako ndani ya uongozi wa chama tawala?
 
Bashiru ni chali kama kifo cha mende kamwe haji kunyanyuka!
Humjui Bashiru wewe! Muulize akupe ripoti ya mali za chama cha mapinduzi, uliza aliweza kuingiza wanachama wangapi baada ya miaka mingi watu kuficha jezi zao!
 
Bashiru anahitaji msamaha tuanze ukurasa mpya wa siasa na uongozi huyo mzee ni muadilifu aliyetukuka sijui aliharibu wapi.
 
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.

Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.

Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Siasa haina adui wa kudumu mkuu. Kumbuka huyo huyo Bashiru kesho anaweza kuwa boss wa Kinana
 
Humjui Bashiru wewe! Muulize akupe ripoti ya mali za chama cha mapinduzi, uliza aliweza kuingiza wanachama wangapi baada ya miaka mingi watu kuficha jezi zao!
Amepigwa mateke ripoti haijamsaidia!
 
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.

Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.

Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Ndio maana huwa tuna sema tenda wema kwa kila mtu. Hakuna ajuae kesho yake. Hapo bado rafiki yangu Ally Hapi
 
😁😁😁
TF_R.jpeg
 
yaani CCM kama hawampendi Bashiru si wamuue / wamfute uraia aende burundi tuu! maana kila kukicha anaongezewa stress mwisho wa siku atajinyonga yule mzee.
Kwenda Burundi kwake siyo adhabu maana mwenda kwao siyo mtumwa
 
Back
Top Bottom