Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kama muhutu vileView attachment 2170762
Haya masikio siyo ya tz kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama muhutu vileView attachment 2170762
Haya masikio siyo ya tz kabisa
Wasukuma tuko wengi sana tukiamua letu hatushindwiGangs of sukuma land have been bombed with heavy unknown kind of kitu kizito
Bashiru kwa sasa hana tena matumaini ya kubakia ndani ya chama
Kwa hiyo wakina nani wapewe nchi kwa maoni yako?Wasukuma na wabanyamulenge sio wa kuwapa Nchi tena ndani ya miaka 6 walijionesha makucha yao.
Walijipanga kumnyima Mama utawala na wakajichotea mabulungutu
Mnajichanganya sana. Kwanza Dr Bashiru hajawahi kuwa na interest na siasa! Hana analopoteza zaidi ya maumivu moyoni mwake kwa Watanzania wenye akili ya kiwango chako!
Usimsikitikie Dr Bashiru, kwa levels zake yeye wala watoto wake hawatokuja kupata njaa. Kaa ujifikirie wewe na kizazi chako!
Trust me kuna siku mtakuja kumkumbuka Dr. Bashiru hata kama hamtaki. Tangu nianze kuona Bi Hangaya anasoma ovyo, anafanya teuzi sizielewi, anajitetea ni mwanamke, anasafiri bila sababu za msingi, haoneshi mwelekeo ndio kwanza ilikuwa 2021 yeye yuko busy na kujiandaa na uchaguzi wa 2025, anawaambia mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao, n.k
Kuna mambo mengi sana ukimpima Hangaya unaona kwa nini Dr. Bashiru hakumkubali. Bashiru ni mbaya ndio, msafi nani pale kijani? Siwezi shangaa mtu asiye wa inner circle kumkataa Hangaya, waliomkubali tushawajua na tunawaona wanatangaza scheduled maintenance, kesho maji yamepungua, keshokutwa mafuta yamepanda, baadae mbia wa mifumo ya uendeshaji. Hauhitaji akili nyingi kufanya assessment kuwa hapa tusubiri muda uende tu ila tusitarajie maajabu. Nchi yenye kiongozi mwenye akili angalau za kufaulu kidato cha sita akishakuwa mzalendo na mwenye uwezo aliyestahili, hakuna mpuuzi yeyote anaweza jaribu kusema ng'ombe wamekunya na kukojoa mtoni wakasababisha samaki kufa
Nyerere (R.I.P.) alishasema ni heri vikabila vidogo vitauheshimu UongoziKwa hiyo wakina nani wapewe nchi kwa maoni yako?
Nyie wakwere mlipewa uongozi, je mliuheshimu?Nyerere (R.I.P.) alishasema ni heri vikabila vidogo vitauheshimu Uongozi
Haya makabila makubwa km Wasukuma, Wahaya, Wachagga, Wanyakyusa mpaka wagawane vyeo Nchi haitabakizwa lolote.
km sasa Mpemba wapi atajenga liuwanja la mpira huko kwao, wapia atavuta Bandari ya Chato, au SGR
Wewe unafurahia kuona nchi inarudi mikononi mwa wahuni?Pole mkuu inaonekana una maumivu makali sana. Wenzako hiki unachopitia ndicho nao walipitia wakati wako, ni kutesa kwa zamu tu.
Upo sahihi sana Mkuu Tatizo La Rais wengi wa Tanzania tuna ushabiki usiokua na tija mtu unashangilia watu ambao unaona kabisa wanaenda kuharibu future ya Taifa lako eti kwa sababu unamkomoa Bashiru alikua kwemye serikali ya JPM let us discuss about our mama land future not this bullshit.Kwamba JPM alikuwa boss wa JK? Sijui tunatafuta justification gani! Dr Bashiru kwa vyeo alivyopitia hana hasara! Zaidi amejenga CV ambayo wewe na mimi na ukoo wetu tunaweza tusifikie! Let us discuss issues na sio watu!
Mimi binafsi sijaona ubaya waliotendewa zaidi ya wao kukiuka taratibu na miongozo ya chama,na hatimaye kuwajibishwa kwa mujibu wa katiba ya chama,shida ipo wapi?Ndio maana huwa tuna sema tenda wema kwa kila mtu. Hakuna ajuae kesho yake. Hapo bado rafiki yangu Ally Hapi
Si ajabu taifa hili haliendelei, TZ ni nchi ambayo kiongozi akiwa mwizi, na kujilimbikizia mali za umma, kuna watu watamshangilia , kumtetea na kumuona shujaa.ShameUpo sahihi sana Mkuu Tatizo La Rais wengi wa Tanzania tuna ushabiki usiokua na tija mtu unashangilia watu ambao unaona kabisa wanaenda kuharibu future ya Taifa lako eti kwa sababu unamkomoa Bashiru alikua kwemye serikali ya JPM let us discuss about our mama land future not this bullshit.
Kuna mzimu ulipandikizwa na mwendazake...Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Nakubaliana na wewe kabisa.Trust me kuna siku mtakuja kumkumbuka Dr. Bashiru hata kama hamtaki. Tangu nianze kuona Bi Hangaya anasoma ovyo, anafanya teuzi sizielewi, anajitetea ni mwanamke, anasafiri bila sababu za msingi, haoneshi mwelekeo ndio kwanza ilikuwa 2021 yeye yuko busy na kujiandaa na uchaguzi wa 2025, anawaambia mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao, n.k
Kuna mambo mengi sana ukimpima Hangaya unaona kwa nini Dr. Bashiru hakumkubali. Bashiru ni mbaya ndio, msafi nani pale kijani? Siwezi shangaa mtu asiye wa inner circle kumkataa Hangaya, waliomkubali tushawajua na tunawaona wanatangaza scheduled maintenance, kesho maji yamepungua, keshokutwa mafuta yamepanda, baadae mbia wa mifumo ya uendeshaji. Hauhitaji akili nyingi kufanya assessment kuwa hapa tusubiri muda uende tu ila tusitarajie maajabu. Nchi yenye kiongozi mwenye akili angalau za kufaulu kidato cha sita akishakuwa mzalendo na mwenye uwezo aliyestahili, hakuna mpuuzi yeyote anaweza jaribu kusema ng'ombe wamekunya na kukojoa mtoni wakasababisha samaki kufa
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.