Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekiuwa Chama wazi wazi!... walitaka kuendesha chama kama company by limited. Sasa sikilizia tarehe 28 hiyo. WanaCCM wengi watapiga kura kwa lisu ili kuwapa hawa majamaa adabu ya mwakahuyo mmoja arudi kwenye uwanaharakati huyo mwengine arudi cuf
Mkuu tunza hiyo tathmini yako. Tarehe 28 Oktoba ni keshokutwa tu.Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.
Mfano Jimboni Kawe watu wanazunguka na Gwajima, wanakula hela zake huku wanampigia Lissu Kampeni. Watu wanabenwa kwenye malori, wanapewa 5k, Tshirt na chakula lakini mwiabonwa siku, baada ya kuwasikia wasanii wanaondoka uwanjani. Ni mengi. Busara ni kujiuzulu
Wallah dua mujarabu hakika dua hii imemfikia AllahLisu is a victorView attachment 1611174
NK = WANANCHI (WATANZANIA WOTE BILA KUJALI CHAMA GANI)Hakika mkuu CCM walikabidhi chama chao kwa Dola, kimekuwa ni chama dola.
Si chama cha wananchi tena. Wananchi wachache wameporwa chama chao.
Lissu hashindani na CCM bali anashindana na SYSTEM DOLA.
TISS.
POLISI.
JESHI.
WAKURUGENZI.
WAKUU WA MKOA.
WAKUU WA WILAYA NK NK
Kuliko ufe kwa presha bora kujipa moyo.Subiri matokeo.
CCM inaenda kushinda kwa kishindo kikuuu.
Unajua V8 wewe?? /Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.
Mfano Jimboni Kawe watu wanazunguka na Gwajima, wanakula hela zake huku wanampigia Lissu Kampeni. Watu wanabenwa kwenye malori, wanapewa 5k, Tshirt na chakula lakini mwiabonwa siku, baada ya kuwasikia wasanii wanaondoka uwanjani. Ni mengi. Busara ni kujiuzulu
Subiri matokeo.
CCM inaenda kushinda kwa kishindo kikuuu.
hujaelewa ndugu,ccm kama cha siasa imeshafeli na hao wawili walitakiwa wakifanye kiwe na ushawishi wa kisiasa ,kilichopo ni vyombo vyote vya dola vinaisaidia ccm maana haina ushawishi tena w kisiasa,hata kinana na nape walijitahidi ushawishi wa majukwaani utawalinganisha na hawa kina bashiru kweli wanaotegemea figisu?Inawezekana wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, baada ya tarehe 28/10 sio mbali tutakutana hapa
Tatizo hamjui kinachoenda kufanyika, suala sio kushinda kwenye hivyo visanduku vya kura suala ni moja tu, kutangazwa mshindi !
Na wakishajiuzulu wakamatwe na kutupwa ndani kwa ushenzi uliokithiri, ni pamoja na m/kiti wao.Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.
Mfano Jimboni Kawe watu wanazunguka na Gwajima, wanakula hela zake huku wanampigia Lissu Kampeni. Watu wanabenwa kwenye malori, wanapewa 5k, Tshirt na chakula lakini mwiabonwa siku, baada ya kuwasikia wasanii wanaondoka uwanjani. Ni mengi. Busara ni kujiuzulu
Engineer umesoma umesoma hiyoo? Hii Ndiyo CCM mpya.Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.