Uchaguzi 2020 Bashiru na Polepole Heshima yenu ni Kujiuzulu

Uchaguzi 2020 Bashiru na Polepole Heshima yenu ni Kujiuzulu

Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.

Mfano Jimboni Kawe watu wanazunguka na Gwajima, wanakula hela zake huku wanampigia Lissu Kampeni. Watu wanabenwa kwenye malori, wanapewa 5k, Tshirt na chakula lakini mwiabonwa siku, baada ya kuwasikia wasanii wanaondoka uwanjani. Ni mengi. Busara ni kujiuzulu
Matokeo umeyaona kama kweli walidanganya. Rashid Gwajima umeona kupata nini
 
Back
Top Bottom