Uchaguzi 2020 Bashiru na Polepole Heshima yenu ni Kujiuzulu

Lisu is a victor
Your browser is not able to display this video.
 
huyo mmoja arudi kwenye uwanaharakati huyo mwengine arudi cuf
Wamekiuwa Chama wazi wazi!... walitaka kuendesha chama kama company by limited. Sasa sikilizia tarehe 28 hiyo. WanaCCM wengi watapiga kura kwa lisu ili kuwapa hawa majamaa adabu ya mwaka
 
Mkuu tunza hiyo tathmini yako. Tarehe 28 Oktoba ni keshokutwa tu.
 
NK = WANANCHI (WATANZANIA WOTE BILA KUJALI CHAMA GANI)
 
Walioiangamiza ccm ni hawa wafuatao
-mwanaharakat huru
-polepole
-bashilu
-helyjames
-ndugahyi

Hawa wameendesha siasa za chuki,fujo,kutukana,kuumiza watu na kupoteza watu,udalali wa kununua wapinzani haya yote hayakuwasidia kisiasa walishindwa kufanya tafiti,wamebaki kumdanganya mzee anapendwa na atashinda kwa 100%
 
Tatizo hamjui kinachoenda kufanyika, suala sio kushinda kwenye hivyo visanduku vya kura suala ni moja tu, kutangazwa mshindi !
 
Mimi upande wangu nawashukuru Sana bashiru na pole pole. Wamesaidia kuimarisha UPINZANI, wamesaidia kuidhoofisha CCM, wamesaidia mwenyekiti azidi kuchukiwa na wana CCM na watu wa UPINZANI, Ni SWALA zuri.
 
Unajua V8 wewe?? /
 
Matokeo yakitoka mnalalamilia Tume huru na Katiba mpya

Tushawazoea
 
Inawezekana wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, baada ya tarehe 28/10 sio mbali tutakutana hapa
hujaelewa ndugu,ccm kama cha siasa imeshafeli na hao wawili walitakiwa wakifanye kiwe na ushawishi wa kisiasa ,kilichopo ni vyombo vyote vya dola vinaisaidia ccm maana haina ushawishi tena w kisiasa,hata kinana na nape walijitahidi ushawishi wa majukwaani utawalinganisha na hawa kina bashiru kweli wanaotegemea figisu?
 
Tatizo hamjui kinachoenda kufanyika, suala sio kushinda kwenye hivyo visanduku vya kura suala ni moja tu, kutangazwa mshindi !


Sasa kwanini kujisifia udhalimu?

Kwa nini haki isifanyike katika kutangazwa mshindi?

Mjue kuwa Mungu anachukizwa sana na udhalimu .

Tumuogope sana Mungu kwa kutenda haki.
 
Na wakishajiuzulu wakamatwe na kutupwa ndani kwa ushenzi uliokithiri, ni pamoja na m/kiti wao.
 
Engineer umesoma umesoma hiyoo? Hii Ndiyo CCM mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…