Bashiru (Oct 12, 2018): Madalali wa mali za umma hawawezi kupendezwa na mijadala ya kujisahihisha

Bashiru (Oct 12, 2018): Madalali wa mali za umma hawawezi kupendezwa na mijadala ya kujisahihisha

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200


'....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.'

Bashiru - 12 Oct 2018
 
Ongoza mwendo Bashiru Ila ninatamani kuona wenye misimamo chanya kama yako wakitoka mafichoni na kuendeleza mapambano hayo badala ya kujificha nyuma ya meza
Anapambana na nani? Bado yupo kundini na ubunge wa bure kapewa,
Atoke ajiuzulu ubunge, awe huru, huwezi kusukuma gari bovu ukiwa ndani,
 
Back
Top Bottom