Bashiru (Oct 12, 2018): Madalali wa mali za umma hawawezi kupendezwa na mijadala ya kujisahihisha

Dr. Bashiru kutoa maoni yake, bila kujali muda, kwangu hauwezi kuwa mtego.

Hayo maswali uliyouliza huko chini bado hayamuondolei Dr. Bashiru haki yake ya kutoa maoni, nyie ndio nawashangaa mlivyo wagumu kuelewa hii simple logic.
 
Dr. Bashiru kutoa maoni yake, bila kujali muda, kwangu hauwezi kuwa mtego.

Hayo maswali uliyouliza huko chini bado hayamuondolei Dr. Bashiru haki yake ya kutoa maoni, nyie ndio nawashangaa mlivyo wagumu kuelewa hii simple logic.
Kwa mindset hii acha tuburuzwe na CCM kwa miaka mingine 50. Mtu alisema katiba mpya muhimu kapewa ukatibu Mkuu wa serikali akasema katiba mpya sio kipaumbele, Leo katoka Tena ndio anagundua katiba mpya ni LAZIMA!! Afu mnamuunga mkono.

Lini tutajifunza waTanzania
 
Mlimjaza hivi hivi Membe, January, Nape, na Kinana wakaishia kuomba msamaha na mwingine akashindwa kufanya hata kampeni.

Mwenyekiti wa CCM ana nguvu kuliko mtu yoyote huko kwenu..... Bashiru hakuona umuhimu wa kubadilisha katiba mpya Sasa atajuta
Wabongo kila kitu tunakimbilia kusema katiba mpya, ishakuwa kichaka sasa.
 
Mkuu hayo ya dhamira yanatoka wapi kwani alikuwa anaomba kura tuseme anatoa ahadi za uongo hana dhamira? Alichofanya Bashiru ni kutoa maoni yake tu kama mwananchi mwengine mwenye uhuru wa kutoa maoni basi.
 
Na sio pekee atakayejuta na wengine wote humo ndani ambao walikuwa wakidhani katiba mpya haina umuhimu wowote !! Ni suala la muda tu!!
Sasa tatizo ni nyinyi mliyokaa na kusubiri serikali ya ccm wawafanyie uungwana wa kuwapa katiba mpya.
 
Una msimamo potofu sana, kila siku nakuuliza mbona demokrasia yenu ina exceptions unashindwa kunijibu, lakini bado tu unakomaa na msimamo wako wa ajabu.

Dr. Bashiru kuwa na mitazamo tofauti bado hakumuondolei haki yake ya kutoa maoni, mbona Lowassa alipokewa Chadema licha ya kuaminishwa alikuw fisadi miaka yote kabla? hapa usiseme Chadema walimuondoa akarudi CCM, the truth is tayari walishampokea na akagombea.

Hii mindset yako wewe ndio mbovu itakayowafanya CCM watawale miaka 100' ijayo, sio 50 kama unavyosema wewe, bado mmetawaliwa na visasi na kuhukumu wengine tena kinyume cha sheria, ajabu huoni udhaifu wako!.
 
Umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…