Bashiru una akili zaidi ya unavyoonyesha hadharani

Hizo sera za majimbo muda wake bado sana hapa tanzania,
Hilo likifanyika kuna mikoa mbayo ipo juu na itakuwa hivyo, na kuna mikoa ambayo ipo nyuma ma itabaki hivyo,
Hao magavana wataanza kubagua na kutoa pesa kidogo serikari kuu wakitaka kunyanyua majimbo yao sasa, mikoa ambayo haina rasilimali za kutosha itafanyaje?
Maana hao wananchi na magavana tutakuwa na nguvu ya maamuzi kwa mapato yetu hivyo hatutakubali pesa yetu itoke kujenga kungine wakati hatujalidhika na maendeleo tunayotaka.
Naongea hivyo si kwamba ninapoishi hakuana rasilimali,
Hapa tuna
Madini
Mbuga sehem kubwa
Ziwa sehem kubwa
Mpakani na nchi jirani
Hivyo kwetu hatuna shida na tutabana kweli hatutakubali ujingaujinga.
 
Bila shaka wako wengi wanamuunga mkono jizi jiwe kama mateka tu au kwa ajili matumbo yao. Lakini wanajijua na wanajua ukweli! mwenye akili za kipuuzi hapo ni MFALME JUHA peke yake
 
Alimaanisha kuwa mtu akijiunga ccm akili zake zinaondelewa na kuwekewa akiliza kuambiwa.
 
Kwel ujinga na ushamba ni mzigo mzito, ndugu hata upate zaidi ya first class kama elimu yako bdo haijakukomboa kifikra na kuendelea kuwa mtumwa kwa wanasiasa utakuwa huna tofauti na punguani ni bora hata yule aliyemaliza chekechea
 
..ukiona jimboni kwako maisha hayaendi unaweza kuhamia jimbo lenye neema.

..kuna wamachinga walitoka mikoa ya kusini kuja dsm kufuata maisha.

..kuna wananchi ambao kutokana na uhaba wa ardhi kilimanjaro walihamia mkoa wa morogoro.
 
NAWAKUMBUSHA TU WAKUU.

Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.

CCM imetufikisha hapa
Kwa Mujibu wa WB Tanzania ni nchi ya 10 kwa uchumi mkubwa Africa, Tanzania ni nchi ya Kipato cha Kati, middle income Country, sio nchi maskini may be hizo takwimu zako umetoa kwa mcoondou wako.
 
..ukiona jimboni kwako maisha hayaendi unaweza kuhamia jimbo lenye neema.

..kuna wamachinga walitoka mikoa ya kusini kuja dsm kufuata maisha.

..kuna wananchi ambao kutokana na uhaba wa ardhi kilimanjaro walihamia mkoa wa morogoro.
Unadhani waliobaki huko wanasiki raha?
Itafika mza mtanza kuwafukuza hao wanaohamia na kusem wanawabana
 
Hawa watu wameziba masikio yao kwa pamba..... Ngoja Tundu Lissu awazibue
 
Well Said mkuu.....
 
Kwa Mujibu wa WB Tanzania ni nchi ya 10 kwa uchumi mkubwa Africa, Tanzania ni nchi ya Kipato cha Kati, middle income Country, sio nchi maskini may be hizo takwimu zako umetoa kwa mcoondou wako.
Misukule ya lumumba inashabikia kila kitu...... Lkn hatuoni ajabu maana km viongozi wenu wenye phd ndo hao nyie mtakuwaje? Ni halali kua na akili mbovu kiasi hiki
 
Misukule ya lumumba inashabikia kila kitu...... Lkn hatuoni ajabu maana km viongozi wenu wenye phd ndo hao nyie mtakuwaje? Ni halali kua na akili mbovu kiasi hiki
Wakati mwingine ujisemee wewe, Sema mimi ni Masikini, usiseme Tanazania ni masikini, goon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…