Bashiru una akili zaidi ya unavyoonyesha hadharani

Tatizo sio watu hao wawili uliowataja, tatizo ni mfumo wa Elimu ya nchi yetu, wasomi wetu wakiwa pale UDSM ukawapa mic..wataongea mayai matupu mpaka mteuaji anasema BRAVO..ukiwapereka field ukawaomba watransform mawazo Yao kuwa reality wengi wanakua vituko, ndio maana tuna graduate lukuki kutoka sokoine hawana Ajira na ardhi nchii hii tunafugia nyasi tuu. Imagine nchi nzima hatuna professor wa uchumi/biashara ambaye ana business yenye thamani ya $1m..wanajazana kwenye TV stations kila jioni kutoa nadhalia tuu.
 
Ujue kuna majimbo lkn bado kuna serikali Kuu..... Ukisema bado cjui unamaanisha nini kwa sababu hiyo mikoa unayosema iko nyuma ni kwa sababu ya mfumo uliopo
 
Bila shaka wako wengi wanamuunga mkono jizi jiwe kama mateka tu au kwa ajili matumbo yao. Lakini wanajijua na wanajua ukweli! mwenye akili za kipuuzi hapo ni MFALME JUHA peke yake
Ukiwa ccm ni km unaacha kutumia akilizako ulizopewa na Mungu....
 
Wakati mwingine ujisemee wewe, Sema mimi ni Masikini, usiseme Tanazania ni masikini, goon.
Misukule ya lumumba inashabikia kila kitu...... Lkn hatuoni ajabu maana km viongozi wenu wenye phd ndo hao nyie mtakuwaje? Ni halali kua na akili mbovu kiasi hiki
 
Huu ndo ukweli mchungu...... Hizi phd ni vituko flani hivi
 
Mwambie mwenyekiti arudishe m 50 alizonywea konyagi ndio uje hapa na utopolo wako huu
 
Mwambie mwenyekiti arudishe m 50 alizonywea konyagi ndio uje hapa na utopolo wako huu
Km amekuka hela zenu mkamateni ndio maana tumewapa serikali......

Yaani badala ya kutekeleza sheria na nyie mnalalamika...... Ndio maana tunasema mafisadi ccm sasa baaasssss.......
 
Mwambie mwenyekiti arudishe m 50 alizonywea konyagi ndio uje hapa na utopolo wako huu
Ungekua na akili timamu ungejadili bilioni 50 au zile trillion 1.5 lkn kwa kua ni msukule na ww ni sehemu ya watoto wa dada ndio maana kwako utopolo wa 50milioni ndio muhimu....
 
Unadhani waliobaki huko wanasiki raha?
Itafika mza mtanza kuwafukuza hao wanaohamia na kusem wanawabana

..mbona sasa hivi wananchi wanahama kutoka mkoa mmoja, kwenda mkoa mwingine kutafuta maisha, na hakuna shida yoyote?

..utaratibu wa mikoa au majimbo upo ili kurahisisha masuala ya kiutawala, na kuiwezesha serikali kuwahudumia wananchi kwa ufanisi.
 
Sera yenu ya majimbo itawakaanga uchaguzi huu.Ni sera ya kibaguzi watanzania hawataitaka itawagharimu
 
Uongo wa Lisu anaotoaga mfululizo hamuuoni.Mbona Lisu akiwa anatekeleza majukumu yake ya kitaaluma ana akili sana.Akihamia kwenye siasa anakuwa anaongopa kwa kiwango cha hatari.
 
Fact
 
Sera yenu ya majimbo itawakaanga uchaguzi huu.Ni sera ya kibaguzi watanzania hawataitaka itawagharimu
Ahsante kwa maoni yako. Kwa hiyo chato inabaguliwa kwa sababu ya majimbo?
 
Uongo wa Lisu anaotoaga mfululizo hamuuoni.Mbona Lisu akiwa anatekeleza majukumu yake ya kitaaluma ana akili sana.Akihamia kwenye siasa anakuwa anaongopa kwa kiwango cha hatari.
Punguza uzwazwa basi mkuu....
 
Misukule ya lumumba inashabikia kila kitu...... Lkn hatuoni ajabu maana km viongozi wenu wenye phd ndo hao nyie mtakuwaje? Ni halali kua na akili mbovu kiasi hiki
Wakati mwingine ujisemee wewe, Sema mimi ni Masikini, usiseme Tanazania ni masikini, poor lazy goon.
 
Wakati mwingine ujisemee wewe, Sema mimi ni Masikini, usiseme Tanazania ni masikini, poor lazy goon.
Wapi nimeandika hayo mkuu..... Mbona wote mmepanic kuanzia mwenyekiti mpaka mjumbe wa shina?
 
Ni YEYE LISSU 2020. Mbeba maono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…