Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
ok.🐒Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais
Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii
mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao
mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia
Daudi Bashite ccm wasipokuwa makini hata Urais atashika na tabia zake kila mtu anazijua sitaki kuziongelea sana ila ni watu ambao wanajua njia zakufika kwenye mamlaka
Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka
Wewe ongea yote labda ndo faraja yako ilipo hakuna unachonipunguziaNyanyuka mara moja hapo sofani uende ukamfungulie Shemeji yako mume wa dada yako geti anapiga honi.
C'mon get that weird ass moving!
Huyo DAUDI ALBERT BASHITE ana cheo gani ndani ya chama? Mbona nikiwa kama kada mkongwe ndani ya chama simfahamu wala kusikia jina la aina hii?Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais
Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii
mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao
mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia
Daudi Bashite ccm wasipokuwa makini hata Urais atashika na tabia zake kila mtu anazijua sitaki kuziongelea sana ila ni watu ambao wanajua njia zakufika kwenye mamlaka
Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka
Huogopi kupotezwa?Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais
Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii
mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao
mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia
Daudi Bashite ccm wasipokuwa makini hata Urais atashika na tabia zake kila mtu anazijua sitaki kuziongelea sana ila ni watu ambao wanajua njia zakufika kwenye mamlaka
Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka
Kwani hapo kuna jambo gani baya nililoliongeleaHuogopi kupotezwa?
Na hii ndiyo inainyemelea Tanzania hivi sasa na Bara in particulari architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia
Kumlinganisha mwana mpendwa na MengistuKwani hapo kuna jambo gani baya nililoliongelea
Nimesema kuna watu wanajua njia za kushika madaraka
Wanafanana tabiaKumlinganisha mwana mpendwa na Mengistu
Wewe ni Rais gani mtarajiwa mwenye majibu ya mkato kiasi hiki kwa wapiga kura wako! Kwa hali hii bora nimpigie kura Hashim Rungwe Spunda.Endelea hivyo hivyo kutokumfahamu sio lazima umfahamu
Wakati amemsifia!Huogopi kupotezwa?
Sihitaji kura asilimia mia ili niwe Rais nahitaji majorityWewe ni Rais gani mtarajiwa mwenye majibu ya mkato kiasi hiki kwa wapiga kura wako! Kwa hali hii bora nimpigie kura Hashim Rungwe Spunda.
Sijamsifia mtu nimeelezea uhalisiaWakati amemsifia!
Swali ni je kidoti amesamehe kabisa saba mara sabini na kusahau kabisa kuwa jamaa alimtaja kwenye 'list of shame'?
Au ndio analiwa timing?
Wewe ni buree kabisa. Majibu yako ya hovyo.Sihitaji kura asilimia mia ili niwe Rais nahitaji majority
Ni sawa wewe kuwa mpinzani na kunipinga
Hata wewe unaoption ya kuwa mpinzani na kunipinga sihitaji kura yakoWewe ni buree kabisa. Majibu yako ya hovyo.
Ni kweli, Daud hana aibu kabisa na anajua mbinu za kupanda juu. Ipo siku watu watashangaa jamaa amekuwa waziri mkuu, makamu au hata raisi mana yeye siku zote anawaza kwenda juu tu.Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais
Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii
mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao
mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila vilivyokuwa vinapinga utawala wake wa kikatili ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia
Tigray People liberation army, fano rebels na wengine vilivyomuaondoa mengstu haile mariam vimeungana tena kwa lengo la kumuondoa abiy mohamed waziri mkuu wa sasa wa ethiopia
Daudi Bashite ccm wasipokuwa makini hata Urais atashika na tabia zake kila mtu anazijua sitaki kuziongelea sana ila ni watu ambao wanajua njia za kushika madaraka
Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka na mtu anaweza akawa alikuwa mjinga darasani ila anajua njia za kushika madaraka ndo daudi bashite
Moja ya sifa za kiongozi mzuri ni kuwa mkatili na moja ya sifa ya kiongozi mbaya ni kuwa mkatili sasa unajua tofauti zao ? Tatizo siyo ukatili tatizo ni KIONGOZI MPUMBAVU ...Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais
Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii
mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao
mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila vilivyokuwa vinapinga utawala wake wa kikatili ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia
Tigray People liberation army, fano rebels na wengine vilivyomuaondoa mengstu haile mariam vimeungana tena kwa lengo la kumuondoa abiy mohamed waziri mkuu wa sasa wa ethiopia
Daudi Bashite ccm wasipokuwa makini hata Urais atashika na tabia zake kila mtu anazijua sitaki kuziongelea sana ila ni watu ambao wanajua njia za kushika madaraka
Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka na mtu anaweza akawa alikuwa mjinga darasani ila anajua njia za kushika madaraka ndo daudi bashite
HUwezi kuwa unaakili na ukawa katili sababu mtu mwenye akili anafikiria mbali madhara ya matendo yakeMoja ya sifa za kiongozi mzuri ni kuwa mkatili na moja ya sifa ya kiongozi mbaya ni kuwa mkatili sasa unajua tofauti zao ? Tatizo siyo ukatili tatizo ni KIONGOZI MPUMBAVU ...
Ukiambiwa kuna kiongozi MKATILI ILA SIYO MPUMBAVU NA KUNA KIONGOZI SIYO MKATILI ILQ NI MPUMBAVU (kikwete) basi wewe chagua kiongozi MKATILI ASIYE MPUMBAVU KULIKO HUYO ASIYE MKATILI.
Haya bana Mr. Prezdaa. Ila dogo wee mbishi🙌🏿Hata wewe unaoption ya kuwa mpinzani na kunipinga sihitaji kura yako