butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Badala ya kupambana na mfumo, tunapambana na mazao ya mfumo.Ila zaidi sisi wa bongo tuko corrupt zaidi, ni wanafiki sana ndio maana watu wa aina ya Makonda bado wapo tu.
Tunaonyesha chuki zetu kwa Makonda aliyekuwa RC tu, hatufanyi hivyo kwa wengine wengi waliokuwa na nafasi kunwa zaidi yake.
Ata tukimsema Makonda mpaka kiama,maisha ya Watanzania yataendelea kule vilevile na wakina Makonda watazidi kuzalishwa na mfumo.
Kinachotakiwa ni kumkataa shetwani CCM na mambo yake yote kama Wakenya na Wazambia walivyozikataa KANU na UNIP!!