Bashite, run quick, see…

Ila zaidi sisi wa bongo tuko corrupt zaidi, ni wanafiki sana ndio maana watu wa aina ya Makonda bado wapo tu.

Tunaonyesha chuki zetu kwa Makonda aliyekuwa RC tu, hatufanyi hivyo kwa wengine wengi waliokuwa na nafasi kunwa zaidi yake.
Badala ya kupambana na mfumo, tunapambana na mazao ya mfumo.
Ata tukimsema Makonda mpaka kiama,maisha ya Watanzania yataendelea kule vilevile na wakina Makonda watazidi kuzalishwa na mfumo.
Kinachotakiwa ni kumkataa shetwani CCM na mambo yake yote kama Wakenya na Wazambia walivyozikataa KANU na UNIP!!
 
FOH with that bull jive.
 
Ila zaidi sisi wa bongo tuko corrupt zaidi, ni wanafiki sana ndio maana watu wa aina ya Makonda bado wapo tu.

Tunaonyesha chuki zetu kwa Makonda aliyekuwa RC tu, hatufanyi hivyo kwa wengine wengi waliokuwa na nafasi kubwa zaidi yake.
Waovu wakubwa walikuwa Magufuli, Makonda, Sabaya nk. Hao wengine walikuwa na kipimo, au walitembelea nyota za waovu hawa wakuu enzi za utawala wa dhalimu magu.
 
Ndio maana kinasemwa mfumo na makonda ni sehemu ya mfumo
 
Hiyo ccm tumeshaikataa kwa njia halali ya kura, lakini tuna katiba isiyoruhusu chama kingine kuingia madarakani kwa njia hiyo halali. Au ww unataka tuwakatae kwa njia gani zaidi ya hiyo?
 
Recycling of tyrants pose some serious integrity issues in our judicial system how can I be convinced judges are chosen through rigorous process that mostly elevate the most catechized jurists with integrity to apex the court.

Courts have convicted and sentenced chicken thieves and petty hoodlums and leaving behind tryants and thugs like DAB sauntering around the streets.

R.I.P Ben Saanane & Azory Gwanda all those who their whereabouts puzzles are unknown to date.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…