Bashite, run quick, see…

Anafuga wowowo!
 
Hakutupwa alikuwa anasubiria tu kupangiwa kazi nyingine.
 
Seriously, CCM is morally and ethically bankrupt!

Why? Recycling the same old depraved characters from the archives!

Proof? Albert Msando, Paul Makonda, etc,.
Ukiona umefanya kitu wapinzani wanakushangilia ujue kuna mahali umekosea. Ukiona wanapinga ulichofanya, ujue umewatwanga - JPM
 
Ila zaidi sisi wa bongo tuko corrupt zaidi, ni wanafiki sana ndio maana watu wa aina ya Makonda bado wapo tu.

Tunaonyesha chuki zetu kwa Makonda aliyekuwa RC tu, hatufanyi hivyo kwa wengine wengi waliokuwa na nafasi kubwa zaidi yake.
Chadema eti walifurahia watu kama Februari Marope na Nappy Mauya kurudi kwenye kundi, eti wanaona JPM na team yake kakomolewa.
Niliwaambia kwamba sanduku lijalo huwezi kutoboa bila kutumia karata ya jiwe. Walijaribu kumbomoa lakini naona walikuja kugundua jamaa alifanya mengi na si rahisi kutoka mioyoni.
Karibuni utakuja kuona JNHPP na SGR zinakamilika.
Mkutano uliopita ulizidi kugawa makundi na suala la bandari ndo lilizidisha mpasuko. Kanda ya ziwani tumewapandishia cheo mtoto pendwa na sasa Paulo atazidi kuimarisha. Mwisho wa siku maslahi ya kudumu ndo yanashika nafasi.
 
Seriously, CCM is morally and ethically bankrupt!

Why? Recycling the same old depraved characters from the archives!

Proof? Albert Msando, Paul Makonda, etc,.
We knw why u Wrring Paul Makonda Bcz he didnt accept Hom Sexl, Drug Gang, political
gang and other immoral and un ethical frm ur culture. 😂😂😂😂🤣🤣.
And One Day u gona see PM as a
minister of Home Affairs so wht u gona say Gy
 
Do you have evidence on those accusations that DAB is responsible?
 
Kwa nini unataja dini yake watu wanakuwa introduced na kabila zao normally sio dini.kwa hiyo tuseme bashite aliteuliwa na Muslim president. Hao wataalamu wa kawaida na walipogundua hayo hawakusaidiwa na Allah ni akili zao ndo maana huyo Allah yuko Sudan na hakuna cha maana .
 
Hapo ndipo wanapokosea kushabikia personalities, na kusahau hao bado ni CCM, tena zaidi wanarudi.

Adui yao ni ccm wakisahau hapo watakuwa wanapigana na adui wasiyemjua na watafeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…