BASHITE SASA AJIITA MALIYAMUNGU

....Hivi hizi saluti zinapigwa katika mazingira gani?
 
Hizo ni sera2 za wa2 lkn ukweli utabaki palepale2 make kila m2 anasema lake2 huyu hiv na yule vile duuuuu hiyo kali xan mkuuu
 
Isaac Maliyamungu alikuwa katili wa kutisha akiwa mwandani wa Idd Amin. Alikuwa katili ambaye hata Idd Amin alifika mahali akasema nadhani huyu ni kichaa. Maliyamungu alimuua mayor wa Masaka kwa kumkata sehemu za siri mbele ya watu na kumchopoa vipande vipande mbele za watu mpaka akafa. Ndiye huyu tunaye anakoelekea
 
maliyamungu alikuwa muuaji katili sana !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…